Kufuta namba ya simu ya unaempenda akifariki ni Jambo kubwa, omba yasikufike

Kufuta namba ya simu ya unaempenda akifariki ni Jambo kubwa, omba yasikufike

Ni mwaka sasa sijazifuta namba zake, sms zake wala picha zake… sometimes I miss him and najaribu kupiga kama zitaita.. wakati mwinginee namtumia sms… bado sija move on
R.I.P my love 💔😭
 
Pole sanaaa kwa msiba wa shangazi mungu akutie nguvu ktk kipindi hik kibaya,,, TUNAISHI SEHEMU NDOGO SANAAA YENYE FURAHA KIDUCHU ,,, pumzika mahali panapo stahil shangazi
 
Back
Top Bottom