inauma sana mkuu, ila tuseme huduma zetu za upasuaji bado hazijawa za uhakika, mtu alienda kujifungua, njia ya kawaida ikashindikana, ikabidi afanyiwe op,ameruhusiwa siku 5 hali ikawa mbaya,wakarudi hosp. Wamekaa kama 6days wakasema wameshndwa wakapewa rufaa to nkinga, kisha walipofika huko wakaongezewa drip 4 za damu na ule mshono ukarudiwa kutengenezwa upya,wamekaa takribani 6days hali ikazidi kuwa mbaya,kupumulia milija, badae ndo hali ikazidi kuwa mbaya na kufariki dunia,kiukweli kama wangejua wangeenda moja kwa moja kwenye hosp. Ya rufaa kuliko hizi tiamajitiamaji. Marehemu shangazi kaacha watoto mapacha wenye umri wa mwezi mmoja. Lala salama shangazi