Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukumbushana kupo tu blohkataa ndoa mmeanza mpaka msibani muwe na aibu na hofu ya MUNGU.
Futa tuu,mkuu,Dunia hii Ina mambo,Bado utaona mengi!pole sana mkuu pia, mpanda ni nyumbani. Kuna shemeji yangu huko.
Kuna hii video,huwa inanitafakarisha sanaIla ukifa ww, namba yako anaifuta akiwa gest na mbadala wako
Mimi sijawahi kufuta kwa kweli.Mimi huwa sifuti namba za wapendwa waliofariki.
Mpaka sasa ninazo mbili na sasa zinamilikiwa na watu wengine kabisa ambao siwajui.
Pole sana ndugu yanguKatika kitu ambacho sitakifanya, ni kufuta namba ya My Queen, my late Mom. Ninayo itabaki hapo, mpaka nami nitakapoondoka.
Pole my dear Bantu LadyKatika kitu ambacho sitakifanya, ni kufuta namba ya My Queen, my late Mom. Ninayo itabaki hapo, mpaka nami nitakapoondoka.