Kabla sijamakiza kusima Uzi achana na NDOA haraka sana!!Wakuu,
Omba yasikukute,narudia tena omba yasikukute,kufuta namba ya simu ya mtu uliyekuwa unampenda kwa dhati ni jambo gumu mno.
Wakuu,mpenzi wangu amefiwa na shangazi yake,ambaye kiukweli nilimpenda sana, nilizoeana nae vya kutosha,yeye ndiye nguzo kuu ya mahusiano yetu na wiki mbili zijazo tulikuwa tunatarajia kufunga ndoa
Moyo unaniuma na naumia sana kufuta namba yake RIP shangazi umeacha legacy ambayo haitafutika maishani mwangu.
Mungu awatie nguvu,ukuaji mwema mapacha wa wiki 3 uliowaacha. nenda shangazi see you again.
Nimecheka mpaka pumboor limeshtukaIla ukifa ww, namba yako anaifuta akiwa gest na mbadala wako
pole sana mkuu pia, mpanda ni nyumbani. Kuna shemeji yangu huko.Leo was thinking of the same aiseee, niko hapa Mpanda nilikua nikaonane na Jamaa mmoja alikua anafanya kazi Hopsitali ya Wilaya ya Tanganyika, Dah naambiwa mbona jamaa alishafariki tangu kwenye mbio za Mwenge? nikatafuta kwa simu namba yake, nikaaangalia kisha nikaifuta, mmmgh very painful. Rest Well Dr Faraja
Jambo la heri sana Ndugu yangu, karibu sana japo nitakua muda mfupi tu hukupole sana mkuu pia, mpanda ni nyumbani. Kuna shemeji yangu huko.
Kwa sisi wakrito tunaamini ipo siku tutakutana, labda na hao wanasubiri hiyo siku.Nimekuelewa sana. Ila Kuna vitu tunahitaji kujitahidi na kumuomba Mungu atusaidie ku move on.
Maana hata usipoifuta inakusaidia nini?
ahsante sana japo sipo huko me nipo TABORA mkuu,karibu sana mkoani kwetu,leo tumepata neema ya mvua tunashukuru ukuu wake Bwana japo nina majonzi makubwa.Jambo la heri sana Ndugu yangu, karibu sana japo nitakua muda mfupi tu huku