Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Tunza hao mapacha kama full dedication kwa legacy ya shangazi yako.Wakuu,
Omba yasikukute, narudia tena omba yasikukute, kufuta namba ya simu ya mtu uliyekuwa unampenda kwa dhati ni jambo gumu mno.
Wakuu, mpenzi wangu amefiwa na shangazi yake ambaye kiukweli nilimpenda sana, nilizoeana nae vya kutosha, yeye ndiye nguzo kuu ya mahusiano yetu na wiki mbili zijazo tulikuwa tunatarajia kufunga ndoa
Moyo unaniuma na naumia sana kufuta namba yake RIP shangazi umeacha legacy ambayo haitafutika maishani mwangu.
Mungu awatie nguvu,ukuaji mwema mapacha wa wiki 3 uliowaacha.
Nenda shangazi see you again.
Poleni sana.Wakuu,

Mimi mwaka wa 8 tangu mzee atutoke, bado sijafuta namba zake zotePole sana, mimi nilifuta ya marehemu mzee jikaze tuu wote tutapita
Ahsante sana ndugu yangu mimi PendaelliPole sana ndugu yangu
inauma sana mkuu, ila tuseme huduma zetu za upasuaji bado hazijawa za uhakika, mtu alienda kujifungua, njia ya kawaida ikashindikana, ikabidi afanyiwe op,ameruhusiwa siku 5 hali ikawa mbaya,wakarudi hosp. Wamekaa kama 6days wakasema wameshndwa wakapewa rufaa to nkinga, kisha walipofika huko wakaongezewa drip 4 za damu na ule mshono ukarudiwa kutengenezwa upya,wamekaa takribani 6days hali ikazidi kuwa mbaya,kupumulia milija, badae ndo hali ikazidi kuwa mbaya na kufariki dunia,kiukweli kama wangejua wangeenda moja kwa moja kwenye hosp. Ya rufaa kuliko hizi tiamajitiamaji. Marehemu shangazi kaacha watoto mapacha wenye umri wa mwezi mmoja. Lala salama shangaziMimi juzi nimefuta ya mama yangu aliefariki miaka 7 iliyopita. Kabla sijaifuta nilipiga, akapokea mshikaji,a vipimo vingine vyote nilivyi distroy baadae sana.
Pumzika kwa amani mama yangu. Kijana wako bado nakukumbuka kila siku na naendelea kupambana.
KATAAA NDOAAAA haraka sana wewekwa nini nisioe? Kisa amefiwa na shangazi yake?
Pole sana mkuuinauma sana mkuu, ila tuseme huduma zetu za upasuaji bado hazijawa za uhakika, mtu alienda kujifungua, njia ya kawaida ikashindikana, ikabidi afanyiwe op,ameruhusiwa siku 5 hali ikawa mbaya,wakarudi hosp. Wamekaa kama 6days wakasema wameshndwa wakapewa rufaa to nkinga, kisha walipofika huko wakaongezewa drip 4 za damu na ule mshono ukarudiwa kutengenezwa upya,wamekaa takribani 6days hali ikazidi kuwa mbaya,kupumulia milija, badae ndo hali ikazidi kuwa mbaya na kufariki dunia,kiukweli kama wangejua wangeenda moja kwa moja kwenye hosp. Ya rufaa kuliko hizi tiamajitiamaji. Marehemu shangazi kaacha watoto mapacha wenye umri wa mwezi mmoja. Lala salama shangazi