Ni mwaka sasa sijazifuta namba zake, sms zake wala picha zake… sometimes I miss him and najaribu kupiga kama zitaita.. wakati mwinginee namtumia sms… bado sija move on
R.I.P my love 💔😭
Pole sanaaa kwa msiba wa shangazi mungu akutie nguvu ktk kipindi hik kibaya,,, TUNAISHI SEHEMU NDOGO SANAAA YENYE FURAHA KIDUCHU ,,, pumzika mahali panapo stahil shangazi