Kufutiwa leseni Tanzania Daima, wito wa Askofu Bagonza watajwa

Kufutiwa leseni Tanzania Daima, wito wa Askofu Bagonza watajwa

Taso

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2010
Posts
2,507
Reaction score
2,412
2433778_IMG_20200620_182608.jpg

ALJAZEERA wanaripoti, kabla ya kufutiwa leseni, wahariri wa Tanzania-Daima walihojiwa kuhusu kuchapisha habari ya Askofu Bangoza kuwataka wananchi wavae nguo nyeupe siku ya kuadhimisha kuzaliwa TANU, saba saba, na kuungana na taasisi za kisiasa na kijamii kudai Tume Huru ya uchaguzi.

LAKINI tuliambiwa na serikali, taarifa kwa umma, kwamba gazeti limeandika habari ya uongo na uzandiki.

Kwa hiyo Askofu Bangoza hakusema maneno hayo?

Tunaomba kuuliza.
 
Nilisema juzi hakuna sababu ya Chama chochote tumia nguvu ninazo njia 4 7 kwa chama chochote kinancho taka ushindi wa dola hasubui SAA nne but Chama kinachotaka kinilipe
 
Nduli katili sana hili ngoja tuliandalie mwisho wake.
Tatizo kura hazipigwi jf wala twitter. Wapigakura wengi kwao demokrasia na utawala bora ni vigezo visivyo na nguvu wanapopima viongozi/uongozi. Huo ndiyo ukweli mchungu. Jiandae kumaliza mwaka ukiwa na majonzi.
 
Wameua ajira za watu masikini kikatili katili namna ile.

Basi wawape watu wote waliosomea journalism ajira kwenye magazeti yao ya Daily News, Uhuru na Mzalendo.
 
Back
Top Bottom