Kufutiwa leseni Tanzania Daima, wito wa Askofu Bagonza watajwa

Kufutiwa leseni Tanzania Daima, wito wa Askofu Bagonza watajwa

Sio kwa Sasa hivi kawamwagia kitumbua kwenye mchanga yeye huyo anaendelea kula Bata

Waandishi wa habari wawe makini lakini yawezekana kabisa Kuna waandishi mahiri Tanzania Daima Ila yawezekana Ni hujuma wamehujumu gazeti lifungiwe kwa makusudi sababu ya kutolipwa mishahara au stahiki zao na Chadema wakati miruzuku chadema inapata kibao

Yaweza kuwa Ni internal wars za ndani ya chadema.Haiwezekani mwandishi mahiri anaandika habari ya askofu kuitisha maandamano nchi nzima wakati yeye Ni Askofu tu wa kidayosisi kidogo Tena maskini cha karagwe

Ki protocol hata kama Askofu angeitisha maandamano alitakiwa kuwa Askofu mkuu wa KKKT Tanzania nzima Askofu shoo

Ki protocol Bagonza eneo lake Ni karagwe tu sio nchi nzima!!

Sasa Tanzania Daima hata walishindwa kuchuja kuwa huyo Bagonza judistiction powers zake mwisho area ipi sio kweli on Sasa kilichosukwa

Binafsi naamini kuhujumiana ndani ya Chadema kumeanza hasa kipindi hiki wanagombana Nani awe mgombea uraisi Chadema.Tanzania Daima lilikuwa linamjenga mtia Nia fulani sasa Kama humo ndani ya chumba Cha habari Kama Kuna makundi ya wagombea mahasimu kutakuwa na mmoja kaamua kuzima switch ya umeme ya Tanzania Daima lisiendelee kuwaka kwa kuchapisha habari hiyo ya kinyume na maadili ya uandishi ya Askofu Bagonza ili Tanzania Daima ifungiwe

My advice waandishi wazingatie taaluma na kuepuka makundi ndani ya vyama

Gazeti laweza kuwa limefungiwa kupitia inside Job ya kundi la Askofu Bagonza ambaye labda Yuko upande wa mgombea uraisi fulani lakini asiyeelewana na mgombea aliyekuwa akibebwa na Tanzania Daima!! Askofu akawaagiza wachapishe hiyo habari gazeti lifungiwe ili huyo wasiyekubaliana naye akose forum ya ku ji nafasi kurasa za mbele za gazeti

Kuna mtu katia Nia Kugombea uraisi kupitia Chadema Askofu Bagonza alikutana naye Marekani wakaongea Sana tu naona kuna faulo wagombea uraisi Chadema wameanza kuchezeana.Askofu Bagonza ana mgombea wake Chadema nitamtaja siku ingine sitaki kuvuruga michakato Yao ya Chadema kumpata ika napiga tu filimbi kuwa wagombea wameanza kuchezeana faulo ndani ya Chadema wao na wapambe wao
1. Issue ya Bagonza kuitisha maandamano nchi nzima ni suala lake binafsi, sio suala la kanisa la KKKT nchi nzima. Ni suala lisilohusu hata Dayosisi ya Karagwe, kwa hiyo hoja yako ya jurisdiction haina mashiko, tupa kule....itupwe kule kwa sababu Bagonza haitaji ruhusa ya Askofu Mkuu wa KKKT kushiriki mambo yenye faida kwa jamii. Mara kadhaa amekuwa akiitwa kwemye makongamano na kutoa mada kwa masuala yanayohusu jamii.

2. Unachoeleza hapa kuhusu mambo ya ndani ya Tanzania Daima hayana msingi kwa sababu unasukumwa na hisia na hutumii facts. Hoja hii nayo itupwe kule kwa sababu hata hujui mfumo wa uendeshaji wa gazeti hilo. Hujui, nina uhakika hujui! Ulichokiandika hapa kinathibitisha kuwa hujui!

3. Maelezo yako yote yanastahili kutupwa kwenye dust bin kwa sababu unataka kutumia tukio hili kufanya propaganda zenye athari kwa Chadema, lakini bahati mbaya akili ya kufanya hicho kitu huna, yaani uwezo wako uko very low!

4. HAPA ninakutuma sasa. Nenda MAELEZO kawaulize ni lini waliwahi kulionya gazeti la Tanzania Daima zaidi ya mara kumi? Na walilionya kutokana na kuandika habari zipi? Ukipata majibu uje sasa tuanze upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
4. HAPA ninakutuma sasa. Nenda MAELEZO kawaulize ni lini waliwahi kulionya gazeti la Tanzania Daima zaidi ya mara kumi?
Nilienda jana waliniambia waliowaonya zaidi ya mara kumi
 
Mkoloni mweusi amejaa hofu na kutokujiamini pamoja na kwamba yeye ni amiri jeshi mkuu.

Nguvu ya umma itashinda.
Tujiandae kuwasambaratisha,hawawezi kutushinda maana Sisi ndio wenye nchi hii ya Tanzania. Umma wa Watanzania wenzangu,nashauri kuwa tufungue milango yetu ya fahamu,adui yetu wa kwanza ni CCM Mpya na watu wake.
Wamekula sana keki ya taifa letu sasa wamevimbiwa wanatoa harufu kupitia natural openings.Hii Ndiyo sababu tumeendelea kuwa nchi tajiri wa raslimali lakini watu wake maskini.
 
Back
Top Bottom