Kufutiwa leseni Tanzania Daima, wito wa Askofu Bagonza watajwa

Kufutiwa leseni Tanzania Daima, wito wa Askofu Bagonza watajwa

Juzi nilikuwa naangalia list ya nchi zenye amani zaidi Africa nikashangaa namba 1 hadi 10 Tanzania haipo. Mwaka 2014 tulikuwa namba 4 Afrika.
Lakini cha kushangaza tumewapa hifadhi wakimbizi wa nchi zote za Africa Mashariki zenye vita.
Achana na maandishi yaliyoandikwa na watu wewe angalia uhalisia wa mambo.
 
Lakini cha kushangaza tumewapa hifadhi wakimbizi wa nchi zote za Africa Mashariki zenye vita.
Achana na maandishi yaliyoandikwa na watu wewe angalia uhalisia wa mambo.
Kumbuka tunawakimbizi hata sisi siku hizi wengine nje ya nchi na wengi sana wamejificha ndani ya nchi.
 
Wajinga ni wale waliokwapuliwa bilioni 8.9 na Mbowe alafi bado wanamlamba miguu.
Ni zaidi serikali inayomwibia mwananchi wake jiwe la tanzanite lenye thamani zaidi kwa bilioni 100 kwa kumlipa bilioni 8.9 tu.
 
Kumbuka tunawakimbizi hata sisi siku hizi wengine nje ya nchi na wengi sana wamejificha ndani ya nchi.
hao wanatafutwa,ni wakimbizi wa rushwa.ufisadi na wavuluga amani kama Tundu Lissu aliemtukana baba wa taifa.
 
hao wanatafutwa,ni wakimbizi wa rushwa.ufisadi na wavuluga amani kama Tundu Lissu aliemtukana baba wa taifa.
Utakuta wewe ni kijana asiye na ajira au mwenye ajira na mshahara haufiki 2M lakini unaifia ccm. Au unatoka kanda ya chattle manake wote hawa inajulikana kwanini wanaunga mkono u-Nduli. Mbaya zaidi ni pale unapotoka mikoa mingine ambayo imekuwa wahanga wa umaskini kwasababu za uongozi mbovu wa ccm kwa miaka 60 sasa.
 
Mimi sijatamani kuajiliwa na wala sishindwi kuajiliwa,connection ninazo ila mimi ni mpiga madili hapa mjini nakula sana bata na kut°mb@ mwanzo mwisho.

sifikirii kujenga wala kuoa ni kutafuna kwa kwenda mbele.
 
Chadema mkiwa jamiforums mnatisha vibaya ila nje uko uraian dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa JF huwa wanajua kujiliwaza utawasikia: "hata Mandela alifungwa kama Lema" "Dalai Lama pia anamkubali Mbowe" "Mange Kimambi ni Winnie Mandela wa Bongo" "Julian Assange analikubali gazeti la Tanzania Daima" "NASA walitumia sattelite zao kuona washambuliaji wa Mh. Mbowe" siku wanakuja kushtuka Mbowe yumo kwenye mabilionea kumi wa Tanzania!
 
Mimi sijatamani kuajiliwa na wala sishindwi kuajiliwa,connection ninazo ila mimi ni mpiga madili hapa mjini nakula sana bata na kut°mb@ mwanzo mwisho.

sifikirii kujenga wala kuoa ni kutafuna kwa kwenda mbele.
Okay nakuelewa sasa kumbe? Manake nilikuwa nashangaa mtu gani serious anatetea u-nduli tanzania hii?
 
Wameua ajira za watu masikini kikatili katili namna ile.

Basi wawape watu wote waliosomea journalism ajira kwenye magazeti yao ya Daily News, Uhuru na Mzalendo.
Mwambieni Askofu Bagonza awaajiri hao waandishi wa Tanzania Daima kanisani kwake wamsaidie kugawa sakramenti kwa waaumini.
 
Mwambieni Askofu Bagonza awaajiri hao waandishi wa Tanzania Daima kanisani kwake wamsaidie kugawa sakramenti kwa waaumini.
Uandishi ni taaluma mtambuka, mnaweza kuwafungia gazeti na wakaendelea kuishi. Hii ni tofauti na nyie LB7 ambao mnategemea mwenyekiti ameamkaje!
 
Uandishi ni taaluma mtambuka, mnaweza kuwafungia gazeti na wakaendelea kuishi. Hii ni tofauti na nyie LB7 ambao mnategemea mwenyekiti ameamkaje!
Sio kwa Sasa hivi kawamwagia kitumbua kwenye mchanga yeye huyo anaendelea kula Bata

Waandishi wa habari wawe makini lakini yawezekana kabisa Kuna waandishi mahiri Tanzania Daima Ila yawezekana Ni hujuma wamehujumu gazeti lifungiwe kwa makusudi sababu ya kutolipwa mishahara au stahiki zao na Chadema wakati miruzuku chadema inapata kibao

Yaweza kuwa Ni internal wars za ndani ya chadema.Haiwezekani mwandishi mahiri anaandika habari ya askofu kuitisha maandamano nchi nzima wakati yeye Ni Askofu tu wa kidayosisi kidogo Tena maskini cha karagwe

Ki protocol hata kama Askofu angeitisha maandamano alitakiwa kuwa Askofu mkuu wa KKKT Tanzania nzima Askofu shoo

Ki protocol Bagonza eneo lake Ni karagwe tu sio nchi nzima!!

Sasa Tanzania Daima hata walishindwa kuchuja kuwa huyo Bagonza judistriction powers zake mwisho area ipi sio kweli ona Sasa kilichosukwa

Binafsi naamini kuhujumiana ndani ya Chadema kumeanza hasa kipindi hiki wanagombana Nani awe mgombea uraisi Chadema.Tanzania Daima lilikuwa linamjenga mtia Nia fulani sasa Kama humo ndani ya chumba Cha habari Kama Kuna makundi ya wagombea mahasimu kutakuwa na mmoja kaamua kuzima switch ya umeme ya Tanzania Daima lisiendelee kuwaka kwa kuchapisha habari hiyo ya kinyume na maadili ya uandishi ya Askofu Bagonza ili Tanzania Daima ifungiwe

My advice waandishi wazingatie taaluma na kuepuka makundi ndani ya vyama

Gazeti laweza kuwa limefungiwa kupitia inside Job ya kundi la Askofu Bagonza ambaye labda Yuko upande wa mgombea uraisi fulani lakini asiyeelewana na mgombea aliyekuwa akibebwa na Tanzania Daima!! Askofu akawaagiza wachapishe hiyo habari gazeti lifungiwe ili huyo wasiyekubaliana naye akose forum ya ku ji nafasi kurasa za mbele za gazeti

Kuna mtu katia Nia Kugombea uraisi kupitia Chadema Askofu Bagonza alikutana naye Marekani wakaongea Sana tu naona kuna faulo wagombea uraisi Chadema wameanza kuchezeana.Askofu Bagonza ana mgombea wake Chadema nitamtaja siku ingine sitaki kuvuruga michakato Yao ya Chadema kumpata ila napiga tu filimbi kuwa wagombea wameanza kuchezeana faulo ndani ya Chadema wao na wapambe wao
 
Back
Top Bottom