Kufutiwa leseni Tanzania Daima, wito wa Askofu Bagonza watajwa

Askofu hakusema maandamano,,alisema kuvaa vazi jeupe.
Tanzania daima walibugi na hapo ndo jamaa wakachukua point
 
Nilisema juzi hakuna sababu ya Chama chochote tumia nguvu ninazo njia 4 7 kwa chama chochote kinancho taka ushindi wa dola hasubui SAA nne but Chama kinachotaka kinilipe
Gombea hata ubunge na utumie hiyo 4 7 yako kushinda
 
Mwiso wa nini,kuishi ama kuongoza?
Manduli wote wanakuwaga na mwisho mmbaya sana: Idd Amin, Mobutu, Ghaddafi, Sadam Hussein, Mugabe, Hosni Mubarak, n.k. Sote tunajua walivyoishia, haitokuwa tofauti hata afanye nini, kanuni ni ile ile.
 
2433778_IMG_20200620_182608.jpg

ALJAZEERA wanaripoti, kabla ya kufutiwa leseni, wahariri wa Tanzania-Daima walihojiwa kuhusu kuchapisha habari ya Askofu Bangoza kuwataka wananchi wavae nguo nyeupe siku ya kuadhimisha kuzaliwa TANU, saba saba, na kuungana na taasisi za kisiasa na kijamii kudai Tume Huru ya uchaguzi.

LAKINI tuliambiwa na serikali, taarifa kwa umma, kwamba gazeti limeandika habari ya uongo na uzandiki.

Kwa hiyo Askofu Bangoza hakusema maneno hayo?

Tunaomba kuuliza.

Twambie wewe uliyekuwa na huyo bagonza.
 
Manduli wote wanakuwaga na mwisho mmbaya sana: Idd Amin, Mobutu, Ghaddafi, Sadam Hussein, Mugabe, Hosni Mubarak, n.k. Sote tunajua walivyoishia, haitokuwa tofauti hata afanye nini, kanuni ni ile ile.
Hata mwisho wa nduli Mbowe utakuwa mbaya sana.
 
Nyie mataga na wengine kutoka chattle mnaharibu nchi hii kwa ushamba wenu na njaa zenu. Pia mkumbuke kila tone la damu inayomwagika kwasababu mnataka kumridhisha Nduli wenu basi nyie nanyi mtajibu mbele ya haki kwa kushiriki kwenu kwenye mauaji na mateso ya watu.
 
Tanzania ndo nchi yenye amani kwa asilimia mia.hata nyinyi mnaojaribu kuvuruga amani,kabla ya kushughulikiwa na serikali Mungu anawashughulikia kwanza.
 
Juzi nilikuwa naangalia list ya nchi zenye amani zaidi Africa nikashangaa namba 1 hadi 10 Tanzania haipo. Mwaka 2014 tulikuwa namba 4 Afrika.
 
Tanzania ndo nchi yenye amani kwa asilimia mia.hata nyinyi mnaojaribu kuvuruga amani,kabla ya kushughulikiwa na serikali Mungu anawashughulikia kwanza.
Wakati Saadam Hussein akiwa anashambuliwa vikali na majeshi ya USA na kukimbia kujificha shimoni, mwana propaganda wake alikuwa anawaambia wa-Iraq: tunawapiga Wamarekani mabomu kila upande... we are bombing them....., we are bombing them everywhere,....we are bombing them..., Baadaya siku chache Sadam Hussein alikamatwa akiwa amejificha kwenye shimo. Ndio, dikteta Sadam Hussein kwenye shimo.
 
Kama Mbowe alivyomfanya Chacha Wangwe R.I.P,na kumtisha Sumae kwa kumwambia sumu aionjwi.
 
Back
Top Bottom