Kufutiwa leseni Tanzania Daima, wito wa Askofu Bagonza watajwa

1. Issue ya Bagonza kuitisha maandamano nchi nzima ni suala lake binafsi, sio suala la kanisa la KKKT nchi nzima. Ni suala lisilohusu hata Dayosisi ya Karagwe, kwa hiyo hoja yako ya jurisdiction haina mashiko, tupa kule....itupwe kule kwa sababu Bagonza haitaji ruhusa ya Askofu Mkuu wa KKKT kushiriki mambo yenye faida kwa jamii. Mara kadhaa amekuwa akiitwa kwemye makongamano na kutoa mada kwa masuala yanayohusu jamii.

2. Unachoeleza hapa kuhusu mambo ya ndani ya Tanzania Daima hayana msingi kwa sababu unasukumwa na hisia na hutumii facts. Hoja hii nayo itupwe kule kwa sababu hata hujui mfumo wa uendeshaji wa gazeti hilo. Hujui, nina uhakika hujui! Ulichokiandika hapa kinathibitisha kuwa hujui!

3. Maelezo yako yote yanastahili kutupwa kwenye dust bin kwa sababu unataka kutumia tukio hili kufanya propaganda zenye athari kwa Chadema, lakini bahati mbaya akili ya kufanya hicho kitu huna, yaani uwezo wako uko very low!

4. HAPA ninakutuma sasa. Nenda MAELEZO kawaulize ni lini waliwahi kulionya gazeti la Tanzania Daima zaidi ya mara kumi? Na walilionya kutokana na kuandika habari zipi? Ukipata majibu uje sasa tuanze upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
4. HAPA ninakutuma sasa. Nenda MAELEZO kawaulize ni lini waliwahi kulionya gazeti la Tanzania Daima zaidi ya mara kumi?
Nilienda jana waliniambia waliowaonya zaidi ya mara kumi
 
Mkoloni mweusi amejaa hofu na kutokujiamini pamoja na kwamba yeye ni amiri jeshi mkuu.

Nguvu ya umma itashinda.
Tujiandae kuwasambaratisha,hawawezi kutushinda maana Sisi ndio wenye nchi hii ya Tanzania. Umma wa Watanzania wenzangu,nashauri kuwa tufungue milango yetu ya fahamu,adui yetu wa kwanza ni CCM Mpya na watu wake.
Wamekula sana keki ya taifa letu sasa wamevimbiwa wanatoa harufu kupitia natural openings.Hii Ndiyo sababu tumeendelea kuwa nchi tajiri wa raslimali lakini watu wake maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…