BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Una akili ndogo sana.Sasa wapo kazini waje kufuturishwa nanani Sasa?? Na nyie basi mbona nyie ni mazwazwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili ndogo sana.Sasa wapo kazini waje kufuturishwa nanani Sasa?? Na nyie basi mbona nyie ni mazwazwa
Wewe Huna kabisaaUna akili ndogo sana.
[emoji4]Wewe Huna kabisaa
Mungu anatuonyesha wazito wanavyojijali wao kwa wao !!ni kweli kabisa. lakini si taasisi za kiislamu tu. wangewapa yatima. hii ni sura nyingine ya ufisadi. Bunge linapokuwa na upofu wa kiwango hiki, tutarajie linaishupalia serikali au wabadhirifu wa mali za umma?
Wewe unaijua Dodoma !!! Dodoma inanuka shida na umaskini wa wananchi wake.Wangepita mapembeni ya miji huko kufuturisha si wanayo mavietii ,kufuturishana wenye mishahara ya 15m ni ushamba tu. Hiyo ni futari ya kisiasa na sio kiislamuSasa wapo kazini waje kufuturishwa nanani Sasa?? Na nyie basi mbona nyie ni mazwazwa
Ukweli ni kuwa ni vile imeshakuwa brand tu lakini crdb ni benki moja ya hovyo sana hata huduma zao ni mbovu sana kwa sasa. kama mtu haamini unaweza ukatembelea hata matawi yao makubwa utashangaa.
Kama tawi lao la mlimani city, dar, ndiyo hovyo kabisa. limejaza wapumbavu watupu hata hawajui namna ya kuwahudumia wateja.
Sishangai kuona benki iko bize kuwafuturisha mafisadi na waporaji wa kura za watu
mkuu nenda mlimani city...utatamani ufunge akaunti siku hiyo hiyo. laweza kuwa tawi la hovyo kuliko matawi yote ya crdb nchini.Shida ipo pale tangi bovu kwenye ile kona ya Goba. Yule dada yupo reception kibonge namuombea mabaya daima
Kabisa,Nchi ya waswahili wapenda shughuli
Kenya ni kawaida yenu pia!hata hapa kenya wabunge hula rushwa
Na kutambiana shughuli yetu ilinoga sana 😅😅. !!Nchi ya waswahili wapenda shughuli
Bunge ni too low mkuu,Bianfsi naanza kuwa na wasiwasi na PM wetu,kitendo cha yeye kuitisha iftal wakati Hoja ya Bajeti ofisi ya waziri mkuu ikiwa mezani.....
Something fishy smells out there!
KUMBUKA KUNA REPORT ya CAG inatakiwa IPOZWE ndio maana ya FUTARIWabunge waache huu utaratibu wa kufuturishwa kule Dodoma, Bunge linazidi kuwa too low sana, Juzi niliona Benki ya CRDB inawafuturisha, sasa chukulia kwamba Benki ikajikuta kwenye kashifa kubwa za pesa, hawa Wabunge wataanza kuona aibu ya kuishughurikia kisa inawafuturishaga.
Vipi na Majaji na wao wakaitwa sehemu na kampuni au Kiongozi then wa kafuturishwa?
Jana Waziri mkuu kawafururisha Wabunge, huyu ni mmoja wa wanao takiwa kuwajibika kutokana na Ufisadi kwenye report but now anafuturisha wabunge, Wabunge hawa lazima waje kuona aibu kumshughurikia waziri mkuu.
Nimejaribu kuchimbua kuona hata kwa EAC ni wapi kwingine huwa bunge lao linafuriswa kipindi cha mfungo, nikakuta hakuna, nimejaribu kutafuta ni wapi kampuni kubwa zinafuturisha wabunge nako nimekosa.
Kenya wana Makampuni makubwa kwa mitaji kuliko haya yetu ila sijawahi sikia Safaricom au Kenya Comercial Bank inafuturisha viongozi wa kisiasa, kufanya hivyo ni tafasir ya rushwa moja kwa moja.
Kufuturisha watu ni jambo jema, shida ni pale linapo fanyiwa taasisi tena taasisi nyeti sana nchi hii.CRDB angesema anafuturidha wateja wake Dodoma na huko ndani Wabunge wakawemo kama wayeja, hilo lisingekuwa ni tatizo, ila pale Futari inapo kuwa maalumu tu kwa Wabunge hapo ni tatizo.
Na sio hili tu huwa naona mara timu ya bunge inapokea sijui vifaa vya michezo kutoka NMB mara sijui wapi, huu ni ujinga, sijui kama kuna watu wenye akili pale Dodoma wawaambie wakina Spika kwamba inapaswa Bunge kuachana na kupokea aina yoyote ya Zawadi, kama ni jezi wanakosa pesa za kununua jeszi na vifaa vya michezo?
Bunge libakuwa too low sana, lina tia aibu sana na mbaya hakuna anaye shitukia huu utaratibu wa kishamba sana.
Hata kwa wenye Dini yao huko Mashariki ya kati huwezi kuta Wanasiasa eti wanafuturishwa sijui na taasisi gani au Spika anafuturisha wanasiasa wake.
View attachment 2586061View attachment 2586062
Hii ni nchi ya kijinga sn imekaa kitapeli snWabunge waache huu utaratibu wa kufuturishwa kule Dodoma, Bunge linazidi kuwa too low sana, Juzi niliona Benki ya CRDB inawafuturisha, sasa chukulia kwamba Benki ikajikuta kwenye kashifa kubwa za pesa, hawa Wabunge wataanza kuona aibu ya kuishughurikia kisa inawafuturishaga.