Kufuturishana Wabunge Dodoma ni rushwa, ni nchi gani nyingine ina huu utaratibu?

ni kweli kabisa. lakini si taasisi za kiislamu tu. wangewapa yatima. hii ni sura nyingine ya ufisadi. Bunge linapokuwa na upofu wa kiwango hiki, tutarajie linaishupalia serikali au wabadhirifu wa mali za umma?
Mungu anatuonyesha wazito wanavyojijali wao kwa wao !!
 
Ukiona hivyo hawataki makato makubwa yaongelewe
 
Sasa wapo kazini waje kufuturishwa nanani Sasa?? Na nyie basi mbona nyie ni mazwazwa
Wewe unaijua Dodoma !!! Dodoma inanuka shida na umaskini wa wananchi wake.Wangepita mapembeni ya miji huko kufuturisha si wanayo mavietii ,kufuturishana wenye mishahara ya 15m ni ushamba tu. Hiyo ni futari ya kisiasa na sio kiislamu
 

Shida ipo pale tangi bovu kwenye ile kona ya Goba. Yule dada yupo reception kibonge namuombea mabaya daima
 
Shida ipo pale tangi bovu kwenye ile kona ya Goba. Yule dada yupo reception kibonge namuombea mabaya daima
mkuu nenda mlimani city...utatamani ufunge akaunti siku hiyo hiyo. laweza kuwa tawi la hovyo kuliko matawi yote ya crdb nchini.
 
Bianfsi naanza kuwa na wasiwasi na PM wetu,kitendo cha yeye kuitisha iftal wakati Hoja ya Bajeti ofisi ya waziri mkuu ikiwa mezani.....

Something fishy smells out there!
 
Bianfsi naanza kuwa na wasiwasi na PM wetu,kitendo cha yeye kuitisha iftal wakati Hoja ya Bajeti ofisi ya waziri mkuu ikiwa mezani.....

Something fishy smells out there!
Bunge ni too low mkuu,
 
KUMBUKA KUNA REPORT ya CAG inatakiwa IPOZWE ndio maana ya FUTARI
 
Hii ni nchi ya kijinga sn imekaa kitapeli sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…