Kufuturishana Wabunge Dodoma ni rushwa, ni nchi gani nyingine ina huu utaratibu?

True crdb ina mambo ya kijamaa sana sio CRDB nilitokuwa naifahamu mimi
 
Ni wakati wao@
 
Ila wanaofuturu ni Wabunge waislam sio wabunge wote kwa iyo hawa ndio watashindwa kuongea maana wamekula..futar ila wengine wataongea tu
 
benki nyingine imefuturisha jana haha
 
Naona itafika Siku tusikie hata kujisaidia Kwa wabunge ni rushwa

Chuki ni kitu kibaya sana

Acha watu waishi
 
Alafu hawajafunga ...ni wiz tu. 2025 hatuwachagui tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…