Kufutwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni dharau kwa Rais Kikwete na watu wa Pwani

Tz ni nchi pekee duniani ambayo inaongozwa na umimi na ukwetu, japo baba wa taifa hakufanya hivyo butiama... Hizi tabia tumerithi kwa nani?
 
Kila awamu ikamilishe miradi yake. Huu mtindo wa awamu fulani kupanga mipango tu bila kukamilisha miradi yake imepitwa na wakati.
 
Kwa maana hiyo ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ulikuwa haumo kwenye ilani ya CCM 2010-15?

1. Kama ilkuwa haimo basi wametudanganya wapiga kura kwa.kufanya mambo bila ya mpangilio

2. Kama ilkuwemo basi wametuhadaa wapiga kura kwa kutuahidi kitu na baada ya kuwapa kura kutugeukia.

3. SGR, Dreamliner, bwawa la umeme navyo vimo kwenye ilani ya CCM 2015-20. Na kama havimo jee yaliyokuwemo yote yashatekelezwa, na jee atakayefata atayaendeleza yalipofikia ikiwa project moja yapo haijamaliza?

Kwa mtazamo wangu ni kuwa iwepo sheria ya kuwa chama kitakchoshinda chaguzi lazima kitekeleze yaliyomo kwenye ilani na kuyakamilisha mwaka mwengine wa uchaguzi itakapokuwa project haikukamilia itakapokuwa hasara ya kuiwacha project ni kubwa kuliko hasara ya kuikamilisha regardless chama kitakachopata ridhaa ya kutawala. Tunapoteza hela nyingi mno kwa projects zinazokuwa abandoned bila ya kuchukuwa uamuzi.wa kitaalamu!
 
Mbona Mradi Wa Upanuzi Wa Bandari Ya Mtwara Ulipotezewa Amkuhoji Acheni Majungu
 
Kufutwa kwa mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni ujumbe wenye taarifa kamili kwamba awamu ya tano inadharau mipango na miradi mizuri iliyoanzishwa na awamu ya 4.

Lkn pia, hatua hii inaua ndoto na matumaini ya kupunguza umaskini kwa watu wa Pwani kupitia mradi huu ambao ulipambaniwa na kufanikisshwa na mpwani mwenzao (rais wa awamu ya 4).

Mbona Chato kunajengwa viwanja vya ndege nje kabisa ya bajeti hatusemi?

Mbona Chato kunajengwa maghorofa yanayokaliwa tu na popo hatusemi?

Mbona Chato kunawekwa mataa barabarani zinazoishia kuongoza mikokoteni hatusemi?

Hii siyo dharau kwa rais Kikwete na watu wa Pwani?

N.B Bado hawajasahau majibu ya nyodo waliopewa walipo omba kiwanda cha kusindika nanasi: "rais wa awamu ya 4 anatoka hapa na analima nanasi, hakujenga. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije nijenge?"

Watanzania tuna utamaduni mbaya sana kila kitu ni personal. Sasa deni la $10B tutalipaje wakati kuna deni la treni ya umeme na hata hatuna pesa za kumalizia. Wanaosema pesa si zetu waambie je ukikopa bank pesa ni zako? lakini deni ni lako na riba ni yako. Hii project haina tija wala umuhimu kwa sasa. Kuna sehemu nyingi nzuri zaidi zinahitaji pesa kama airport ya kisasa ya KIA, masoko ya kisasa ya kilimo, uwekezaji wa kilimo cha kisasa, tunahitaji mji wa technologia na kuingiza technologia majumbani, maji vijijini kote na umeme wa bei nafuu. Hivi ni vitu vya kukamilisha kwanza. Huu mradi ni wa kisifa tu
 
Bahari ambayo mna Uhuru nayo haijawatoa umaskini, bandari ya wa China itawatoaje umaskini?, Acha uchochezi wa kitoto

NDUGU KAMA HUKUSIKIA UCHANGANUZI WA MRADI WA BANDARI YA BAGAMOYO HIVI MAJUZI BASI UTAKUWA UKO NYUMA AU KAMA UMESHAJUA KUWA KULIKUWA NA CHANGAMOTO NYINGI BAINA YA WATU WA UCHINA/OMAN NA SERIKALI YETU KATIKA MAKUBALIANO BASI USIWE BIAS NA KUCHOCHEA UHASAMA WA UKANDA AU UBAGUZI WA AINA YOYOTE. MIMI NATOKEA KASKAZINI NA INAFAHAMIKA KUWA UPINZANI UMETAMALAKI KULE NA KUNA CHANGAMOTO ZAKE KULE KWAHIYO NAKUELEWA FIKA.

PEACE & LOVE
 
Watanzania jamani tuache siasa. Hata kama mradi ni mbovu na mikataba mibovu sio lazima tuingie kwasababu itanufaisha tabaka fulani tu. Lazima inufaishe kila mmoja na serikali ikipata mapato yake. Kuna baadhi ya vitu tuwachie wataalamu sio siasa kila wakati.
ABSOLUTELY WHITE TRUTH. MERCI
 
"Kamwe Rais hatawai kutoka Kaskazini". Hahahahaaaa mkidhani mnamkomoa Lowasa sasa mmebaki mkilialia kama mikondoo mipumbavu.

Kamoooonnn fanyeni kazi

Mbaaff
AISEE KAMA UNA UGONJWA WA UKANDA MPAKA AWAMU HII YA TANO I CAN REALLY DOUBT YOUR FUTURE BROTHER.. POLE SANA. WATU WA KASKAZINI TUNAKUPENDA MTANZANIA MWENZETU.
 
Kufutwa kwa mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni ujumbe wenye taarifa kamili kwamba awamu ya tano inadharau mipango na miradi mizuri iliyoanzishwa na awamu ya 4.

Lkn pia, hatua hii inaua ndoto na matumaini ya kupunguza umaskini kwa watu wa Pwani kupitia mradi huu ambao ulipambaniwa na kufanikisshwa na mpwani mwenzao (rais wa awamu ya 4).

Mbona Chato kunajengwa viwanja vya ndege nje kabisa ya bajeti hatusemi?

Mbona Chato kunajengwa maghorofa yanayokaliwa tu na popo hatusemi?

Mbona Chato kunawekwa mataa barabarani zinazoishia kuongoza mikokoteni hatusemi?

Hii siyo dharau kwa rais Kikwete na watu wa Pwani?

N.B Bado hawajasahau majibu ya nyodo waliopewa walipo omba kiwanda cha kusindika nanasi: "rais wa awamu ya 4 anatoka hapa na analima nanasi, hakujenga. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije nijenge?"
Mbona haya majibu,mi naona sawa sawa kabisa
 
Ndani ya huu utawala deni la nje limepaa madeni ya ndani hayashikiki korosho zinaozea maghalani ndege zinasafiri tupu na maAir hostage kwa mara ya kwanza Tumbaku haina mnunuzi Pamba nayo imedorora Timu ya taifaccm imekula kipigo cha paka mwizi Biashara nyingi zimefungwa Wawekezaji wameondoka misaada imekatwa wanasiasa wa upinzani wanapigwa risasi na kupotezwa.wafanyabiashara wanatekwa.
 
Mkuu wa nchi kafafanua sifa za mtu anayeza kuukubali mradi wa bandari ya Bagamoyo. Msema chochote(mc) wa Jf tuwekee video clip tujikumbushe zile sifa, tafadhali.
 
Mnalishwa Matango pori nanyi mlivyo Vibendera mnakurupuka hata hamjui yaliyopo ndani
Subirieni Magu aondoke Mkaijenge

Sasa mnajenga chattle tu? Huu mchezo utachangia ccm kuanza kampeni za kupitisha wagombea kwa ukanda ili kila mtu ajenge kwao. Hivyo huu mchezo wa jiwe kuua upinzani kwa hujuma kupitia madaraka yake, utaiacha ccm ikishindana kikabila na hatimaye kuligawa taifa kikabila na kikanda. Tufumbie macho ila tutavuna kipandwacho leo.
 
Watanzania tuna utamaduni mbaya sana kila kitu ni personal. Sasa deni la $10B tutalipaje wakati kuna deni la treni ya umeme na hata hatuna pesa za kumalizia. Wanaosema pesa si zetu waambie je ukikopa bank pesa ni zako? lakini deni ni lako na riba ni yako. Hii project haina tija wala umuhimu kwa sasa. Kuna sehemu nyingi nzuri zaidi zinahitaji pesa kama airport ya kisasa ya KIA, masoko ya kisasa ya kilimo, uwekezaji wa kilimo cha kisasa, tunahitaji mji wa technologia na kuingiza technologia majumbani, maji vijijini kote na umeme wa bei nafuu. Hivi ni vitu vya kukamilisha kwanza. Huu mradi ni wa kisifa tu

Unauzungumziaje uwanja wa ndege wa Chato ili kuboresha huu uzi wako?
 
Back
Top Bottom