Watanzania mnajifanya wajuaji SanaNashauri hii mechi tukifungwa Kocha akabangue Korosho mtwara. Mechi ya Uganda kikosi tutapanga wenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atatuaa kwa presha ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aende tu si kwa kikosi kibovu kiasi hicho
Haaaaa haaaaaMkuu mpira ni mbinu wala sio sala...ingekua sala timu za Israel na Saudi arabia wangekua na makombe yote ya dunia hahaha
Mkuu, ngoja tusimuhukumu mapema.Biashara asubuhi. Hii game walitakiwa Lesotho wakimbizwe Mwanzo mwisho hawa ilikuwa tuwapige si chini ya goli mbili then ndio aingize hao Mabeki Wake.
Bora umeupunguza preshaWapuuzi Tanesco wamekata umeme [emoji41][emoji41]
Mudathir kashikwa vibaya sana timu imepoteana kati hakuna balance
Mkuu wewe ni wa msumbiji auWatanzania mnajifanya wajuaji Sana
Komaa jf utapata tu updatesWapuuzi Tanesco wamekata umeme [emoji41][emoji41]
Halafu Gadiel wa nini maana mpaka sasa hakuna alichofanya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atatuaa kwa presha ...
Mwl kashasha nimeona yupo uwanjan kwa nini asizamee room ampe mbinu
MnyasaMkuu wewe ni wa msumbiji au
Ndio wewe msumbiji endelea kutokujuaWatanzania mnajifanya wajuaji Sana
Wapuuzi Tanesco wamekata umeme [emoji41][emoji41]
Yani kocha kaacha wachezaji wa maana benchi kaingiza utumbo.
Abdallah kheri wa nini ? Yani kocha Fwalaaa sana
Inawezekana sie ndio hatujui kabisa..Ball possession ni Lesotho 68/ sisi 32. Yaani hata hawa watu wasiojua mpira natushinda?
ItakuwaMnyasa