Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Biashara asubuhi. Hii game walitakiwa Lesotho wakimbizwe Mwanzo mwisho hawa ilikuwa tuwapige si chini ya goli mbili then ndio aingize hao Mabeki Wake.
Mkuu, ngoja tusimuhukumu mapema.
Asipowabadilisha kipindi cha pili tumbebee mabango
 
Mudathir ni defence midfielder, himid Mao ni defence midfielder unategemea timu ipande mbele ? Nyoni akicheza midfield huwa mzito sana heli acheze pembeni kushoto.
Mudathir kashikwa vibaya sana timu imepoteana kati hakuna balance
 
Yani kajaza mabeki halafu anataka ashinde
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atatuaa kwa presha ...

Mwl kashasha nimeona yupo uwanjan kwa nini asizamee room ampe mbinu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom