Kelele zenu zimeniita hamujui mupira nyie kafanyen siasa zenu uchwara tuuNani kakuita hapa kwa watanzania wasiojua mpira
Gadiel hutakiwi hata benchi achalia mbali uwanjaniToa mudathri weka fei toto, toa bek 3 weka kichuya gadiel arudi 3.. toa mao mkami weka bocco .chilunda apande juu.
Tunashinda.
Mkuu inatia hasira sana
Gundu tayari.
Ka Kichuya ka nnWadau mi nashauri hats kama tutafuzu huu mtihani amunike tumtupie virago mi sijaona bado nini anatakiwa akifanye kwa timu yetu pendwa ya taifa. Match ya Leo ilikuwa ya kwetu kabisaaa. Hawa jamaa ni wepesi mno. Match kama hii tia pale mbele akina boko na kichuya. Then kati mkude mbona tungeshanza kucheka kitambo!!!!
InaumaMfumo wa Kocha hatuwezi kupata bao.. Msuva na Chilunda ni wachezaji wa aina moja..
Duh! Aiseee hii timu yetu kama gari la shamba Trip moja gereji trip nyingine shamba......kocha naye sijui hana kikosi maalumu huyu mweee......tunapeana presha tu
Kelele tunakupigia masikioni majukwaa ni mengi na nyuzi ni nyingi sawaeeee.Haya pita kushotoKelele zenu zimeniita hamujui mupira nyie kafanyen siasa zenu uchwara tuu
Hata dk mbili bado ishapanda presha..Ila kwa kweliiiiii ....preshaa tena
Mnyama Chota Chama anapiga rula?Tulia lazima mpigwe nyie mnajua muziki na siasa uchwara tuu huko kwenu sisi huku tushafunga Zambia 1
Umewazaa mbaliiiiToa mudathri weka fei toto, toa bek 3 weka kichuya gadiel arudi 3.. toa mao mkami weka bocco .chilunda apande juu.
Tunashinda.