Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Hawa jamaa wanalegea na kuvuta miguu , Naomba Wasiposhinda Wakirudi Wakabangue Korosho maana watakua wameshindwa kulitetea taifa uwanjani Basi wakalitetee taifa kwenye ubanguaji wa korosho.
 
Wadau mi nashauri hats kama tutafuzu huu mtihani amunike tumtupie virago mi sijaona bado nini anatakiwa akifanye kwa timu yetu pendwa ya taifa. Match ya Leo ilikuwa ya kwetu kabisaaa. Hawa jamaa ni wepesi mno. Match kama hii tia pale mbele akina boko na kichuya. Then kati mkude mbona tungeshanza kucheka kitambo!!!!
Ka Kichuya ka nn
 
Ila kwa kweliiiiii ....preshaa tena
 
Bora wewe moyo wa chuma utavumiliaa
Duh! Aiseee hii timu yetu kama gari la shamba Trip moja gereji trip nyingine shamba......kocha naye sijui hana kikosi maalumu huyu mweee......tunapeana presha tu
 
Ni kipindi cha ngapi hiki? Tupeni updates tunaotegemea JF, wengine tuliacha kuangalia hizo tv siku nyingi tu.
 
Back
Top Bottom