Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Achen ujuaj we ni kocha??
 
Hawa vijana kwanini wanashindwa kutumia hizi kona?
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais Dkt. John Magufuli ametums ujumbe mfupi, amesema atakuwa anazatama mchezo wa Taifa Stars na Lesotho huku akiwatakia kila la heri warudi na ushindi.View attachment 938588

Kwa Kikosi cha hovyo kilichopangwa Kuanza badala ya kile ambacho nilikitoa jana hapa baada ya Kuhakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu kutoka Pemba usipoteze muda wako Kuangalia na kama tutashinda basi ni kutoka nao Sare ila uwezekano wa Wao Kutufunga ni wa 95% japo kuna Kitu kinaitwa ' zali / bahati ' hivyo tunaweza tukafanikiwa vile vile. TFF na Benchi la Ufundi la Taifa Stars muwe mnaacha dharau pale tukiwa tunawashaurini Vitu vya Kiutamaduni / Kindumba.
 
Yote kwa yote mwisho wa mchezo ushindi lazima
 
Ndo maana sikutaka kutoa mguu wangu hapa home..
 
Reactions: Lee

Kwa Kikosi cha hovyo kilichopangwa Kuanza badala ya kile ambacho nilikitoa jana hapa baada ya Kuhakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu kutoka Pemba wala msipoteze muda wenu Kuangalia na kama tutashinda basi ni kutoka nao Sare ila uwezekano wa Wao Kutufunga ni wa 95% japo kuna Kitu kinaitwa ' zali / bahati ' hivyo tunaweza tukafanikiwa vile vile. TFF na Benchi la Ufundi la Taifa Stars muwe mnaacha dharau pale tukiwa tunawashaurini Vitu vya Kiutamaduni / Kindumba.

Nimekereka sana kama siyo mno tu.
 
nashangaa wanaume wamekaa kbs wanasubiria ushindi...msitegemee maajab hayo jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…