Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achen ujuaj we ni kocha??Mi bado naumiza akili kufikiri kuhusu huyu kocha wetu kimeo. Hivi kweli hao wachezaji aliowapanga wabovu hao hata simba na yanga wameshindwa kuwaona ubora wao kiasi kwamba wameshindwa hata kuwasajili kweli? Maana nijuavyo mchezaji yoyote mzuri ni lazima ataenda simba, yanga au azam
Kwahiyo wazee wanakuwa wabishi kuelewa au wanakuwa hawana akilTatizo munafundisha vijana mpira ukubwan washabalehee
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais Dkt. John Magufuli ametums ujumbe mfupi, amesema atakuwa anazatama mchezo wa Taifa Stars na Lesotho huku akiwatakia kila la heri warudi na ushindi.View attachment 938588
Wabishi halafu hawana akili ya kunasa harakaKwahiyo wazee wanakuwa wabishi kuelewa au wanakuwa hawana akil
Samaki mukunje akiwa mubichiKwahiyo wazee wanakuwa wabishi kuelewa au wanakuwa hawana akil
Dah mnatukatisha tamaa sanaLesotho wangekuwa serious hii mechi ingekuwa imekwisha
Au lugha itakuwa shida.. Me nadhani tungeweka sheria B4 coach hajaanza kazi lazima ajue Kiswahili kwanza labla inaweza ikatusaidiaWabishi halafu hawana akili ya kunasa haraka
Duu ngono tena..Mpira sio ngono inayochezwa gizani,wewe unatazama huoni?
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]Ushindiii wetuu
Timu ya Taifa la Tanzania maarufu kama Taifa Stars leo inashuka dimbani dhidi ya Lesotho katika mchezo wa leo kuwania kufuzu fainali mataifa ya Afrika AFCON 2019.
Taifa stars wataanza mechi ya leo kwa kumkosa mshambuliaji wake hatari Mbwana Samatta kutokana na Kadi ya Njano aliyoonyeshwa mchezo uliopita.
Kikosi cha Taifa Stars kinachotatajiwa kuanza katika mechi ya leo.
View attachment 938555