Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

ABEC136F-030B-47BC-92DC-20C55E06D062.jpeg
 
Mi bado naumiza akili kufikiri kuhusu huyu kocha wetu kimeo. Hivi kweli hao wachezaji aliowapanga wabovu hao hata simba na yanga wameshindwa kuwaona ubora wao kiasi kwamba wameshindwa hata kuwasajili kweli? Maana nijuavyo mchezaji yoyote mzuri ni lazima ataenda simba, yanga au azam
Achen ujuaj we ni kocha??
 
Hawa vijana kwanini wanashindwa kutumia hizi kona?
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais Dkt. John Magufuli ametums ujumbe mfupi, amesema atakuwa anazatama mchezo wa Taifa Stars na Lesotho huku akiwatakia kila la heri warudi na ushindi.View attachment 938588

Kwa Kikosi cha hovyo kilichopangwa Kuanza badala ya kile ambacho nilikitoa jana hapa baada ya Kuhakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu kutoka Pemba usipoteze muda wako Kuangalia na kama tutashinda basi ni kutoka nao Sare ila uwezekano wa Wao Kutufunga ni wa 95% japo kuna Kitu kinaitwa ' zali / bahati ' hivyo tunaweza tukafanikiwa vile vile. TFF na Benchi la Ufundi la Taifa Stars muwe mnaacha dharau pale tukiwa tunawashaurini Vitu vya Kiutamaduni / Kindumba.
 
Ndo maana sikutaka kutoa mguu wangu hapa home..
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Timu ya Taifa la Tanzania maarufu kama Taifa Stars leo inashuka dimbani dhidi ya Lesotho katika mchezo wa leo kuwania kufuzu fainali mataifa ya Afrika AFCON 2019.

Taifa stars wataanza mechi ya leo kwa kumkosa mshambuliaji wake hatari Mbwana Samatta kutokana na Kadi ya Njano aliyoonyeshwa mchezo uliopita.

Kikosi cha Taifa Stars kinachotatajiwa kuanza katika mechi ya leo.

View attachment 938555

Kwa Kikosi cha hovyo kilichopangwa Kuanza badala ya kile ambacho nilikitoa jana hapa baada ya Kuhakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu kutoka Pemba wala msipoteze muda wenu Kuangalia na kama tutashinda basi ni kutoka nao Sare ila uwezekano wa Wao Kutufunga ni wa 95% japo kuna Kitu kinaitwa ' zali / bahati ' hivyo tunaweza tukafanikiwa vile vile. TFF na Benchi la Ufundi la Taifa Stars muwe mnaacha dharau pale tukiwa tunawashaurini Vitu vya Kiutamaduni / Kindumba.

Nimekereka sana kama siyo mno tu.
 
nashangaa wanaume wamekaa kbs wanasubiria ushindi...msitegemee maajab hayo jaman
 
Back
Top Bottom