Tufungwe tu next time kocha ataacha ujuajiYani maajabu makubwa...uganda anakuja kutufunga hapa hapa
Ule mpira angeuclear vizuri tusingepigwa hilo goli la kiboya
Fanya bas vitu vyako mzeeNilimuonya kuwa nitaiachia hii ' Hirizi ' kwa hasira na tutafungwa akadhani GENTAMYCINE natania kumbe mwenzake nimemaanisha. Siku zingine muwe mnakuwa na adabu kwa Watu ambao haya mambo ya Ndumba / Tamaduni hasa za Mipirani tunaijua sana.
Tayari limeshabamduliwa kamoja! Ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa!! Kwisa habari yaoooooooooo!Hawa jamaa wanalegea na kuvuta miguu , Naomba Wasiposhinda Wakirudi Wakabangue Korosho maana watakua wameshindwa kulitetea taifa uwanjani Basi wakalitetee taifa kwenye ubanguaji wa korosho.
Tz bongo..Uwezo wa akili yake ndio imeishia pale..
Jiwe angetumia majeshi na hapaKitu anachokisapoti jiwe huwa lazima kifeli
Dakika 3 Sa Ivi.Zimebakia dakika 10
Hatuna uwezo na akili piaTumeshindwa kwenda cameroon kirahis kabisa
Sio huu mkuu.
Ule unaoonesha msimamo wa kundi lote
Hapo tofauti ni ipi mkuu?
Ndiyo tabia zenu fisi emuTigo Fiesta leo Dodoma imeshaingia doa.
Leo jiandae kukosa haki yako ya msingi kwenye ndoa hahaha unalala na kiu yakoTufungwe tu next time kocha ataacha ujuaji
Asubuhi nimewaambia Mr na Bro leo tutafungwa wacha wanimind hapa nacheka mpaka machozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
oyeeeeeeeeLesotho oyeeeeeeeeeee
Lesotho oyeeeeeeeeeee
Aaaah,, rais awaweke mahabusu hawa ,Hahaha hizo hasira tu mkuu,,