Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Nilimuonya kuwa nitaiachia hii ' Hirizi ' kwa hasira na tutafungwa akadhani GENTAMYCINE natania kumbe mwenzake nimemaanisha. Siku zingine muwe mnakuwa na adabu kwa Watu ambao haya mambo ya Ndumba / Tamaduni hasa za Mipirani tunaijua sana.
Fanya bas vitu vyako mzee
 
Hawa jamaa wanalegea na kuvuta miguu , Naomba Wasiposhinda Wakirudi Wakabangue Korosho maana watakua wameshindwa kulitetea taifa uwanjani Basi wakalitetee taifa kwenye ubanguaji wa korosho.
Tayari limeshabamduliwa kamoja! Ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa!! Kwisa habari yaoooooooooo!
 
Tufungwe tu next time kocha ataacha ujuaji

Asubuhi nimewaambia Mr na Bro leo tutafungwa wacha wanimind hapa nacheka mpaka machozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo jiandae kukosa haki yako ya msingi kwenye ndoa hahaha unalala na kiu yako
 
Timu yetu ya ajabu sana aisee inafungwa hadi na lesotho,
 
Lesotho wanaanza kupoteza muda who will blame them.
 
Back
Top Bottom