Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Dua zote tulizomuombea uganda ashinde ili na cc walau tujitaidi ndo zinaishia apa
 
mm nilishalong'amua hilo zamanii sana..sie twafaa kuwa madalali tu..uongo uongo mwingi maisha yanasonga
 
Huku wakifikiria kuzitapika ata kucheza vizuri wanashindwa
 
Timu ya Kipuuzi sana hii, sasa huko Afcon mnaenda kufanya nini kama Lesotho tu wanatupapasa kiuno hivi
 
Halafu huyu Kichuya si huwa nacheza upande wa kulia kwanini leo anacheza upande wa kushoto?
 
tanzania is a special case no one can help us,waiting for 38yrs and this is how we play,shit shit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…