Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mpira huu na wachezaji hawa hatuwezi mfunga uganda popote pale hapa Tz.Kwani ndo mechi ya mwisho
Tz bongo..
Hii ndo mechi ya mwisho kwani?
mm nilishalong'amua hilo zamanii sana..sie twafaa kuwa madalali tu..uongo uongo mwingi maisha yanasongaMpira kabumbu sio fani yetu waTZ. Hata tukimleta Maurizio Sarri au Pep Guardiola na kutegemea atuletee mafanikio kupitia hawa wazee waliojifunza mpira in their late 20s, ni sawa na kwenda ferry kusubiri drimulaina itue. Let’s all get this obvious fact into our heads and move on.
Tushapakatwaí ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸
Bado mojaHii ndo mechi ya mwisho kwani?
Bora tupeleke majedaz