Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Yapo baadhi ya mataifa yalitoa adhabu Kali sana baada ya wachezeji wao kuleta matokeo mabaya?? Ni dhamu yetu sasa!!!
 
Huu ni upuuzi hatuwezi kuwa malaya wa kisoka kila mwanaume anatuingilia kila siku. Hatuwezi kuwa makahaba wa FIFA kila nchi inatuingilia, ifikie hatua ukubwa wetu uwe chachu ya mafanikio katika soka.

Ukubwa wetu ni wa nini kama hata kuifunga Lesotho hatuwezi! Ukubwa bila akili bora usiwepo kabisa kwenye uso wa dunia.

[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
 
Aiseee
 
Amunike will not take us anywhere. Very poor team selection. We needed to win and he went for a defensive outfit.
He did a Mourinho.

We can simply forget about going to AFCON.
 
Full- time

Lesotho 1 Tanzania 0

Tunalingana points na Lesotho na ni lazima tuwafunge Uganda.
Tumeshindwa Wafunga Hawa Uganda Tutaweza!

Goli Linafungwa Kuna Kipa Na Wachezaji Kama Wote Mpira Unapita Kati Yao,Goli Linaingia Wanabaki Wanashangaana Kweli.
 
Napata taabu sana kuamini kama nani anastahiki kwenda Cameroon Tanzania au Lesotho.

cc: tindo
 
Sasa ule muda wa kuzitapika pesa za watanzania umewadia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…