Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeHii timu inakera kweli. Naacha kuangalia Xxx nasema ngoja leo nikae na simu nijaze Bando ya kutosha niangalie Taifa Stars, anashindwa kuokoa MB zangu zinaenda bure bure hivihivi kabisa?
Kwa nini msingeniambia nikomae na phonerotica muda huu ningekuwa namalizia episode ya 3 [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22].
Tumeshindwa Wafunga Hawa Uganda Tutaweza!Full- time
Lesotho 1 Tanzania 0
Tunalingana points na Lesotho na ni lazima tuwafunge Uganda.
Wakabangue Korosho.Yapo baadhi ya mataifa yalitoa adhabu Kali sana baada ya wachezeji wao kuleta matokeo mabaya?? Ni dhamu yetu sasa!!!View attachment 938682