Huu ni upuuzi hatuwezi kumalaya wa kisoka kila mwanaume anatuingilia kila siku. Hatuwezi kuwa makahaba wa FIFA kila nchi inatuingilia, ifikie hatua ukubwa wetu uwe chachu ya mafanikio katika soka.
Ukubwa wetu ni wa nini kama hata kuifunga Lesotho hatuwezi! Ukubwa bila akili bora usiwepo kabisa kwenye uso wa dunia.
[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
Kazi ipo.Full- time
Lesotho 1 Tanzania 0
Tunalingana points na Lesotho na ni lazima tuwafunge Uganda.
Kwakwel ndomana alikataa kuwasifiwa gam ya cap vedeTaifa star huwa wakisifiwa mechi inayofuata wanafanya hivyo. Tunamuomba mkulu awafikishie mtwara kubeba korosho
Hamia kwenye siasa mkuu huto jutaKweli
Wameshagongwa na mpira umeisha..Hawa jamaa wanalegea na kuvuta miguu , Naomba Wasiposhinda Wakirudi Wakabangue Korosho maana watakua wameshindwa kulitetea taifa uwanjani Basi wakalitetee taifa kwenye ubanguaji wa korosho.
Kutafuta first eleven ya kuwaamberruty tu hakuna namna.Yapo baadhi ya mataifa yalitoa adhabu Kali sana baada ya wachezeji wao kuleta matokeo mabaya?? Ni dhamu yetu sasa!!!View attachment 938682
Wakabangue korosho tu hakuna namnaYapo baadhi ya mataifa yalitoa adhabu Kali sana baada ya wachezeji wao kuleta matokeo mabaya?? Ni dhamu yetu sasa!!!View attachment 938682
Tuombe mzee baba amwambie best yake awaambie vijana wake waje walegeze ili tuende Cameroon woteFull- time
Lesotho 1 Tanzania 0
Tunalingana points na Lesotho na ni lazima tuwafunge Uganda.
Leo watu wanatapika sana,ukimzingua mtu anaweza kukutandika ngumi uwe makini na hao majamaa hahahHa ha ha kabisa