Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Pesa ya Ikulu haijawahi kuwaacha Taifastars salama! Poleni vijana.
 
Huu ni upuuzi hatuwezi kumalaya wa kisoka kila mwanaume anatuingilia kila siku. Hatuwezi kuwa makahaba wa FIFA kila nchi inatuingilia, ifikie hatua ukubwa wetu uwe chachu ya mafanikio katika soka.

Ukubwa wetu ni wa nini kama hata kuifunga Lesotho hatuwezi! Ukubwa bila akili bora usiwepo kabisa kwenye uso wa dunia.

[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]





Hahaha ni balaa.
 
Kimsingi tumeshatoka. Hatuna zuri tunaloweza. Wajiandae kuja kutapika hela za bwana yule.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Yapo baadhi ya mataifa yalitoa adhabu Kali sana baada ya wachezeji wao kuleta matokeo mabaya?? Ni dhamu yetu sasa!!!
FB_IMG_1542542844114.jpg
 
Hii mechi kocha Amunike anastahili lawama [emoji817]%. Lesotho huwezi kuwalinganisha hata na cape verde. Imepangwa timu mbovu! Mbovu! Ufundi wa kujaribu watu kwenye mechi muhimu kama hii ni kutafuta aibu ambayo lazima uwe tayari kubeba lawama!
 
Back
Top Bottom