Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Lawama zote kwa benchi la ufundi..

Gundu limeletwa na viongozi wa ccm kuanza kujiweka mbele mbele ili wapate mtaji wa kisiasa. Kiongozi yoyote wa ccm asijiingize kwenye hiyo timu ibaki bila mkono wa siasa ili ipate baraka. Kinyume na hapo pelekeni jeshi.
 

Mafundi wa kipemba wanaheshimika sana khasa wale wa kuwafuata hukohuko kisiwani Pemba.

Wao hutoa maagizo tu na ukiyazingatia basi mambo yako yataenda moja kwa moja.
 
CCM ni adui namba moja wa taifa. Hii mil 50 ukichanganya na nguvu za wananchi tungeweza jenga zahanati 2
 
Ukiangalia kikosi kinachoa anza, ni rahisi hata kubet na kuiua stars. Kocha huyu hajifunzi hata mechi ya kule verde, wachezaji waliobadilisha mchezo bado amewaweka benchi.

Hivi ametumia akili gani kumweka John Boko dk ya 85? Au anatuhujumu anaona tutawasumbua nigeria?

Aisee, mh Rais, tunataka hela zetu, haiwezekani tupoteze hela kwa wajinga hawa. Yaano hata thamani ya ikulu hawajaiona!

Tuna watu ambao siyo wazalendo kabisa.View attachment 938686
 
Swahibaa, wako wapi sasa
 
Usilete siasa za ufipa kwenye michezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…