Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wasipokelewe uwanja wa ndege.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha kazingua....game ya leo hata julio anapata matokeoWachezaji wa kitanzania hovyo sana
Chilunda anatukosesha utamu hapa. So far short on target kwa dakika hizi tinajitahidi
Kwahiyo amunike ni mtarii?Stars haina kocha
Lawama zote kwa benchi la ufundi..
Nilikuonya mapema ukajifanya Kunitukana na Kunidhihaki nadhani sasa umeamini kile nilichokuambia. Huyo ' Mtalaam ' wangu kutoka Pemba huwa habahatishi na kuna ' Hirizi ' alinipa na masharti yake ila ' dharau ' zako ndizo zimenikera na nikaitupa na dakika tatu ( 3 ) baadae tukafungwa kama nilivyokuhakikishia. Ukome!
= shot
Swahibaa, wako wapi sasaSina mengi sana na pia nimejitahidi nisiiseme hii ndoto yangu mbaya nliyoipata Leo usiku juu ya taifa stars.
Nmeona namna tutakavyo pigwa na wenyeji wetu, na hakuna namna ni kukubali tuu matokeo na turudi kujipanga upya kwa awamu inayokuja ila kwa hii hakika hatuna bahati. Lesotho wamecheza mpira vizuri na taifa stars tumejitahidi kucheza vizuri lakin nafasi chache tulizozipata hasa ile ya bocco kutozaa matunda lakin wenzetu wamepata chache na mbili wamefanikiwa....
Najua wengi mtakuja na povu la uzalendo lakin tuyakubali matokeo na kukubali pia ni uzalendo, mtakao kwenda kutazama mpira mjindae mapema Leo tunafungwa na safari yetu inaishia south.
Update.
HATIMAE ILE NDOTO YANGU IMETIMIA.
LESOTHO 1-TAIFA STARS 0
sio kwamba nmefurai sana hapana nlitaka kuwaanda watanzania juu ya ndoto yangu hii. Tumuombe jiwe atumie jeshi kwenye mechi dhidi ya Uganda la sivyo ntakuja na ndoto mbaya tena
Usilete siasa za ufipa kwenye michezo.Kiukweli kuna makundi mawili yanayoshindanisha dua zao , moja linataka Taifa Stars ishinde lingine linataka ishindwe , katika nchi ya namna hii si rahisi kufanikiwa .
Baada ya Timu yetu kufungwa goli hakuna wananchi wanaosikitika , ni nini kimeikumba nchi hii ?
TushabanjuliwaMpaka sasa hali ikoje uko jese na kashasha.
Timu ivunjwe, na wachezaji wa kikosi hiki wote pamoja na kocha wao wapelekwe kambini wakabangue korosho.Yapo baadhi ya mataifa yalitoa adhabu Kali sana baada ya wachezeji wao kuleta matokeo mabaya?? Ni dhamu yetu sasa!!!