Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Umegongelea msumari nchi 200Michezaji yenu ndio mibovu hawafundishiki hata aje kocha wa dunia ila kwa wachezaji hawa ni uongo hawafundishiki hawajui kucheza mpira was wanajua kupiga mpira tu
Mbona unabinya pua sasa?umoja ni muhimu sana kwenye jambo lolote lile , na ndio maana siku ulipoolewa ndugu zako hata makapuku walishiriki send off yako
Huyu kocha ni tatizo kubwa....sura yake chafu yenye "makunyanzi" haijamsaidia kuwa na busara za kupanga kikosi cha ushindi...poor Amunike, poor Tanzania.....akirudi afukuzwe ili machungu yatupoe kidogo
[emoji41][emoji41][emoji41]Tunashinda 5-1
Wameshagongwa na mpira umeisha..
Ile 50M walizopewa na jiwe zimewatia nuksi
Aiseee !!Wimbo unasema Mungu ibariki Africa, Lesotho ipo wapi!?