Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Umegongelea msumari nchi 200Michezaji yenu ndio mibovu hawafundishiki hata aje kocha wa dunia ila kwa wachezaji hawa ni uongo hawafundishiki hawajui kucheza mpira was wanajua kupiga mpira tu
Wala ishu sio kocha. Tumeshashauri mara kadhaa tuige walichofanya Ghana kutengeneza timu bora ya taifa miaka kadhaa nyuma
Wachezaji hawa wanyoa viduku hawafundishiki wanajazwa sifa za kiboya na magazeti lakini kiukweli hawafuzu hata kuwa semi-professionals.