Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Michezaji yenu ndio mibovu hawafundishiki hata aje kocha wa dunia ila kwa wachezaji hawa ni uongo hawafundishiki hawajui kucheza mpira was wanajua kupiga mpira tu
Umegongelea msumari nchi 200
Wala ishu sio kocha. Tumeshashauri mara kadhaa tuige walichofanya Ghana kutengeneza timu bora ya taifa miaka kadhaa nyuma

Wachezaji hawa wanyoa viduku hawafundishiki wanajazwa sifa za kiboya na magazeti lakini kiukweli hawafuzu hata kuwa semi-professionals.
 
Rais aliwapa mil. 50 Timu ya taifa waende wakacheze walete ushindi na akawaambia wakiletela za kuleta watazitapika hizo pesa. Mimi nasema kufungwa kizembe na Lesotho leo imetukasirisha watanganyika wengi. Hizo pesa wakitua tu hapa watukabidhi tukawalipe wakulima wa korosho hatuna pesa za utalii sisi vinginevyo wakubali bakora tano tano. Mpira umetushinda tuangalie mambo mengine ya msingi. Timu haibebeki tufanyeje sasa? Hakuna namna lazima sasa wachapwe bakora. Mimi nafikiri mpango wa rais kuandaa wanajeshi kambi maalumu kwaajili ya timu ya taifa uendelee hawa raia wameshindwa kazi
 
Huyu kocha ni tatizo kubwa....sura yake chafu yenye "makunyanzi" haijamsaidia kuwa na busara za kupanga kikosi cha ushindi...poor Amunike, poor Tanzania.....akirudi afukuzwe ili machungu yatupoe kidogo

Kwani sura ya mtu inahusiana vipi na performance yake?

🙂🙂
 
Ni lazima tuwafunge Uganda na si kwa kubebwa ili cameroon tukawe kapu la magoli
 
Nasubiri kuona jinsi watakavyozitapika zile hela za ikulu [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mzee wa korosho ana nuksi huyu, nakumbuka hata mechi ya Simba Vs kagera alitufanyia hivi hivi
 
Nilisema humu kuwa:

"Taifa Stars ni kama mwanafunzi wa kike, wakati unahangaika kutafuta ada anakwambia ana MIMBA"

Bora kuangalia Porno online kuliko kukaa kutazama jopo la watu sijui 25 tuliowapa bendera yetu waende nayo nje kutuwakilisha na kushindwa kuiheshimu.

Nchi ina watu Mil 50+ watu 11 wakasekana wenye uchungu na timu ya taifa!!! Watu 11 wenye mioyo ya utaifa wanakosa kweli?.

Kufuzu kwenda huko Cameron inatakiwa msaada wa WB ili twende?..msitutie majaribuni wapumbavu nyie.
 
Nilipoona tu tweet ya mzee wa kaya dakika chache kabla Game haijaanza nikajua hapa Hatushindi
Jamaa angejuaga ana laana angekaa kimya hata wagonjwa asiwe anaenda kuwaangalia
IMG_20181118_190156_456.jpg
 
Hii mechi kocha Amunike anastahili lawama [emoji817]%. Lesotho huwezi kuwalinganisha hata na cape verde. Imepangwa timu mbovu! Mbovu! Ufundi wa kujaribu watu kwenye mechi muhimu kama hii ni kutafuta aibu ambayo lazima uwe tayari kubeba lawama!
 
Madem zao wawanyme papuchi hata miezi kadhaa
 
Amunike arudi Nigera tumeshika pumb+ mwanzo-mwisho kwa kikosi hk...unaacha watu makini na wazoefu nje unatuwekea ndanda fc uwanjani.
hizo beki wa kushoto+kulia sijua kawaokota wap?.. eti gadiel nae winga? kichuya anakaa nje.
Fukuza emmanuel wa september.
 
Back
Top Bottom