umekwishaa
Afe kipa, afe beki...
Lazima kieleweke ...
Unafikiri kwa nini ukiitoa Uganda ktk kundi letu, sisi ndio tuna nafasi kubwa ya kuungana na uganda? Unadhani hizo mbinu na mikakati hazikuwapo?Mpira ni mbinu/mikakati.
Mkuu, sababu Magu alitoa milioni 50 nini? We jamaa ni "jinias". Mungu akubariki zaidi.Lazima mtandikwe,tunaiombea kila la kheri LESOTHO
Mkuu, sababu Magu alitoa milioni 50 nini? We jamaa ni "jinias". Mungu akubariki zaidi.
Unafikiri kwa nini ukiitoa Uganda ktk kundi letu, sisi ndio tuna nafasi kubwa ya kuungana na uganda? Unadhani hizo mbinu na mikakati hazikuwapo?
Nijuacho hapa Tz kuna walesotho pia wanaishi hapa na wameshajua kuswahili na jf ni members.
Amina.Tanzania inagongwa
Na watapigwa tu maana hizo ndiyo dua za mamilioni ya watanzaniaKwasababu JIWE alishaweka hapo mkono wake basi ingependeza zaidi kama stars ingepigwa. Na mimi nasema "Wapigwe"
KabisaSala na kuwaombea ndo cha muhimu kwa nyakati hizi
Amina.Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Taifa stars
Team ya Taifa ni ya ccm?Tbc wataonyesha?
Dilemma inayotukabili kila kukicha: kupenda nchi pamoja na ubaguzi wa Kufa mtu wa ccm au potelea mbali tugawane mbao.nipo kwenye mtanziko kwenye hili
1.tukipita ccm wataongeza kwenye mafanikio ya jiwe
2.tukitolewa roho itaniuma
ila bora namba 1 itokee halafu tutapambana na ccm humu wakisema ni mafanikio yao
yes,siasa kila mahali😀😀
Mungu atusaidie ndugu yanguHili taifa lina upinzan wa kipuuz huenda hakuna dunia nzima.Mtu anakuambia Mungu ibariki Lesotho, sababu za mcng utasikia oooh taifa stars ikishinda jiwe atapata sifa mara CCM watasema ni mafanikio yao.