Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais Dkt. John Magufuli ametuma ujumbe mfupi, amesema atakuwa anazatama mchezo wa Taifa Stars na Lesotho huku akiwatakia kila la heri warudi na ushindi.View attachment 938588
Huyu ndio kasababisha yote haya, mpira na vitisho wapi na wapi[emoji1787][emoji1787] ngoja waje wazitapike sasa[emoji849][emoji849]
 
Sometime mnajiumiza sababu mnaiga mambo ambayo si yenu. Sisi ipo michezo mingi tunaimudu tuombee iwe ya kimataifa. Hebu tuachane na mpira.
1. Kati ya wema na mobeto nani ana matako mazuri?

2. Kati ya snura na shishi baby nani anajua kukatika?

3. Unadham team kiba vs team diamond zikikutana fainali nani atashinda?
 
Nimeshindwa kuelewa huyu Jamaa alikuwa wapi kumwonyesha Mo..saa hizi angekuwa tajiri..
 
Ni adhabu si azabu... Ila kuwa mtanzania ni kipaji.. Naamini hata ingekuwa ushindi ukishikilia mkia.. Unafuzu tungeshindwa
 
Siku tumewapiga Cape Verde mbili za mkwezi haya maneno hayakuwepo,hiyo ndiyo hurka ya mwanadamu anajitazama yeye kwanza, Lesotho waliihitaji pia hiyo nafasi kuliko mnavyofikiria.
 
🎤🎤🎤 Inaniuma saaaana🎼🎼🎵 nikifiriaaa 🎵🎼🎼 huwaga ninaliaaa. 🎼🎼🎼🎶🎶

🎤🎤🎤Hata wadogo wananicheka sanaa 🎶🎼🎼🎵🎼

Namsikiliza Juma Nature hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…