Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Nasema tunajenga Tanzania mupyaaa (in jiwe's voice)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja
Labda hapo yaani mie we niache tu nna hasira hapaKimahesabu nafasi bado ipo...Uganda anakufa kwa mchina..Cape Verde anamfunga Lesotho..Cameroon ileee
Huyu ndio kasababisha yote haya, mpira na vitisho wapi na wapi[emoji1787][emoji1787] ngoja waje wazitapike sasa[emoji849][emoji849]Kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais Dkt. John Magufuli ametuma ujumbe mfupi, amesema atakuwa anazatama mchezo wa Taifa Stars na Lesotho huku akiwatakia kila la heri warudi na ushindi.View attachment 938588
Yule wa mililion hamsini ndo tizoUnafikiri kosa nini kushindwa kwetu? Tufanyeje,?
Wakitua tu uwanja wa ndege Ashok Leyland ikawachukue wakabidhiwe kwa Mabeyo atajua cha kuwafanya.
Hata tukifuzuu huko mbele tutatia aibuuu tuuuKimahesabu nafasi bado ipo...Uganda anakufa kwa mchina..Cape Verde anamfunga Lesotho..Cameroon ileee
Dah huwa sio shabiki wa mpira uwe wa Tanzania au nje ila hii comment yako imenichekesha .Wimbo unasema Mungu ibariki Africa, Lesotho ipo wapi!?