Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Asee tumezingua na tumejitakia wenyew kufungwa,tulikua na dalili zote za kushinda naona pengo kubwa kumkosa samata
 
Hiii timu angepewa Plujim afadhali maana anawajua wachezaji sio ao wapuuuz
 
Siku tumewapiga Cape Verde mbili za mkwezi haya maneno hayakuwepo,hiyo ndiyo hurka ya mwanadamu anajitazama yeye kwanza, Lesotho waliihitaji pia hiyo nafasi kuliko mnavyofikiria.
Umeonaaa
 
Bora kesho jtatu niendelee kuangalia sultan,,,

Hapa Feruuz, pale Hurreim,, pembeni SUMBULAAA

Mashaaaaaaalah
 
Apeleke timu ya JESHI.

#MtiaGundu
 
Nimejaribu sana kuwa mzalendo kwenye soka na kuipenda Timu ya Taifa langu, Wimbo wa Taifa ulipopigwa mwili ukawa unanisisimka, Huyu Amunike ni Vile hana Cha kupoteza ama Tunalaana Ya Asili??
 
Swala la Uzalendo Tanzania ni zaidi kujitoa muhanga yaani Kila sekta inakatisha tamaa.

Mara huku Rushwa, Miundombinu mibovu kibaya zaidi siku hizi Kumeibuka maradhi Mapya TAIFA STARS.

TAIFA STARS inarudisha nyuma sana jitihana za Uzalendo Tanzania kiasi kwamba Watanzania tunajiona Kama tumelaaniwa hivi.

Sawa kuna sababu za kimpira lakini kwa mbinu hizi za mechi za ugenini za Kocha Amunike anaweka Rehani uzalendo wetu kama Watanzania.
 
Rais aliwapa mil. 50 Timu ya taifa waende wakacheze walete ushindi na akawaambia wakiletela za kuleta watazitapika hizo pesa. Mimi nasema kufungwa kizembe na Lesotho leo imetukasirisha watanganyika wengi. Hizo pesa wakitua tu hapa watukabidhi tukawalipe wakulima wa korosho hatuna pesa za utalii sisi vinginevyo wakubali bakora tano tano. Mpira umetushinda tuangalie mambo mengine ya msingi. Timu haibebeki tufanyeje sasa? Hakuna namna lazima sasa wachapwe bakora. Mimi nafikiri mpango wa rais kuandaa wanajeshi kambi maalumu kwaajili ya timu ya taifa uendelee hawa raia wameshindwa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…