Siasa haijawahi kuongoza mpira...
Uko sahihi mkuu
Ccm nuksi sana. Tungeshinda wangegeuza mbele kwa mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa haijawahi kuongoza mpira...
Ww ndiye bwege sasaHii ni thread ya kibwege sana. Unaandika tu haitashinda na ndio umaliza?
Mpira umeshaisha mkuuu, ushindi waupate wapi?“Mrudi na ushindi.....” or else!?
Tukana kochaSijui nipate wapi mtu wa kumpiga ngumi kupunguza hasira...
AiseeBora hata ungepray for your family my dear, hawa ni pasua kichwa [emoji3][emoji3]
Ipo ila ni Ngumu sana... na hata kama nafasi ipo kocha atimuliwe tu... Hana akiliIla nafasi bado ipo
UmeonaaaSiku tumewapiga Cape Verde mbili za mkwezi haya maneno hayakuwepo,hiyo ndiyo hurka ya mwanadamu anajitazama yeye kwanza, Lesotho waliihitaji pia hiyo nafasi kuliko mnavyofikiria.
Apeleke timu ya JESHI.Rais aliwapa mil. 50 Timu ya taifa waende wakacheze walete ushindi na akawaambia wakiletela za kuleta watazitapika hizo pesa. Mimi nasema kufungwa kizembe na Lesotho leo imetukasirisha watanganyika wengi. Hizo pesa wakitua tu hapa watukabidhi tukawalipe wakulima wa korosho hatuna pesa za utalii sisi vinginevyo wakubali bakora tano tano. Mpira umetushinda tuangalie mambo mengine ya msingi. Timu haibebeki tufanyeje sasa? Hakuna namna lazima sasa wachapwe bakora. Mimi nafikiri mpango wa rais kuandaa wanajeshi kambi maalumu kwaajili ya timu ya taifa uendelee hawa raia wameshindwa kazi
Magu bora angejitazamia cherekocherekoMpira umeshaisha mkuuu, ushindi waupate wapi?