Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulivyo wazembe kwenye Riadha atakimbia nani?Tuwekeze kwenye boxing na riadha Mpira ndio kama hivyo..
Li timu letu tunalijua wenyewe mkuu, lilishalala ata kabla ya mechi.Aisee kichwa kimeliwa mkuu
Huko kote miaka 38 shida ni CCM?Hizo nchi zingine nazo ambazo hazijawah kushiriki nako ttz ni vyama vyao vya siasa?Nakosa logic kwenye argument yako
Subiri mechi na Uganda ntakuja tena ndotoBahati mbaya tumepoteza game ya leo, ila bado tuna nafasi ya kufuzu.
JPM anadhani soka ni vitisho!Hakuna kejeli hapo...kila siku wanaombewa tu na hawafanyi vizuri.mazingira ya kambi yao ni mazuri kuliko miaka hiyo.
Hakika kama tumepeleka kubangua korosho hata kwenye mpira tutafanikiwaMwakani tupeleke wana jeshi wakacheze hadi tubebe Kombe AFCON
Si waliambiwa wakifungwa watazitapika? waanze kutafuta kichefuchefu kabla hawajafika eyapoti.Kila mchezaji akatwe mshahara na waende kukusanya korosho.
Sijui wapewe nn ndg yangu kama ni dua, sala na maombi tumepiga sana kama ni kambi wamepelekwa sauzi. Wajameni lbd tumtafute mzee Mwinyi atakua anamjua huyo wendawazimu aliemsema tumrudishie kichwa chakeHakuna kejeli hapo...kila siku wanaombewa tu na hawafanyi vizuri.mazingira ya kambi yao ni mazuri kuliko miaka hiyo.
Unahesabia match ambayo haijachezwa kwani hao wengine hawapendi kushinda!Kwani nafasi si bado tunayo au?