Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Hivi kwa mfano stars akashinda 4-0 na Uganda kwenye game ya mwisho hapo caf na fifa wataelewa kwel? Nahis wataanza kuchunguza upangaji wa matokeo
 
Gundu limeletwa na viongozi wa ccm kuanza kujiweka mbele mbele ili wapate mtaji wa kisiasa. Kiongozi yoyote wa ccm asijiingize kwenye hiyo timu ibaki bila mkono wa siasa ili ipate baraka. Kinyume na hapo pelekeni jeshi.
Huko kote miaka 38 shida ni CCM?Hizo nchi zingine nazo ambazo hazijawah kushiriki nako ttz ni vyama vyao vya siasa?Nakosa logic kwenye argument yako
 
Tumewekeza sana ili mshinde, Mhe Rais amewapa Tshs.5miilioni na tumewapelka kwenye mazoezi Afrika Kusini. Lo ni huzuni kwetu Watanzania.
 
Bahati mbaya tumepoteza game ya leo, ila bado tuna nafasi ya kufuzu.
 
Ila Taifa stars inajua kukomesha watu...napendekeza Stars iwe chini ya Basata tu ili kabla ya kucheza basata ipitie mchezo wake.[emoji2909]
Mwakani tupeleke wana jeshi wakacheze hadi tubebe Kombe AFCON
 
Tatizo si manula ni vikosi vya kipuuzi vinavyopangwa Gadiel Michael, Himid mao, sonso na chizi mwenzie hawapaswi kuwepo timu ya taifa.
 
Hivi kwa mfano stars akashinda 4-0 na Uganda kwenye game ya mwisho hapo caf na fifa wataelewa kwel? Nahis wataanza kuchunguza upangaji wa matokeo
Hivi kwa mfano stars akashinda 4-0 na Uganda kwenye game ya mwisho hapo caf na fifa wataelewa kwel? Nahis wataanza kuchunguza upangaji wa matokeo
Ushindi wa chukua weka waah utata mtupu.
 
Ninamshangaa sana Amunike anafanya makosa ya kuwajarbu wachezaji nimeshangaa Sana kumuanzisha Sonso na Sebo Hawa hawajawah anza matokeo yake tumeyaona amunike una tatizo Gani ulikuwa na hazina ya wachezaji wengi timu inataka matokeo ww unafanya mafyongo
 
Nilichinja jongwe (jogoo) ili niliamua kumla kabla ya game nilifanya uamuzi wa busara sana
 
Back
Top Bottom