chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,531
- 2,912
Unafikiri nini kinapelekea kukosa uwezo wa kupambana?Hapana wachezaji wetu ni wazalendo sana tu sema hawana uwezo kupambana tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri nini kinapelekea kukosa uwezo wa kupambana?Hapana wachezaji wetu ni wazalendo sana tu sema hawana uwezo kupambana tu.
Usimlishe maneno mh Rais tena nakusihi uwe na adabu!Taifa Stars ingeshinda leo ingefuzu moja kwa moja Fainali za mataifa bingwa ya Afrika baada ya miaka zaidi ya 30
Lakini ukiangalia fainali za kipindi hiki zimekuwa diluted, kwa maana badala ya mataifa 16 kama ilivyokuwa kawaida ingekuwa mataifa 24
Ila ingeshinda na kufuzu,
Lakini kwa wengi dilution hiyo isingetazamwa, kingetazamwa ni kitisho cha Rais Magufuli kuwa wangezitapika hela endapo wasingefuzu
Rais wetu mpendwa, John Magufuli alipooita Timu ya Taifa Ikulu aliwapa Sh. Milioni 50 na kuwaambia wasingeshinda hiyo hela wangeitapika kwa namna nyingine, pia aliwaambia alikuwa anafikiria ku deploy jeshi ndio liwe timu ya Taifa...
Basi kitisho hicho kingetumiwa kama propaganda kuwa Watanznia tunafeli kwenye mambo mengi tu sababu hatujatishwa vizuri.
So ingekuwa ni mwendo wa kutisha kila mahali bila kujali mipango
So kwa kuwa hatujashinda pengine tutajifunza kuwa mafanikio ni process na sio kitu cha short term kinachotokana na vitisho
Unafikiri nini kinapelekea kukosa uwezo wa kupambana?
Afadhali tumefungwa, kuepuka mikelele ya wapiga tarumbeta wa jiweTimu ya Taifa la Tanzania maarufu kama Taifa Stars leo inashuka dimbani dhidi ya Lesotho katika mchezo wa leo kuwania kufuzu fainali mataifa ya Afrika AFCON 2019.
Taifa stars wataanza mechi ya leo kwa kumkosa mshambuliaji wake hatari Mbwana Samatta kutokana na Kadi ya Njano aliyoonyeshwa mchezo uliopita.
Kikosi cha Taifa Stars kinachotatajiwa kuanza katika mechi ya leo.
Taifa Stars waidhalilisha Tanzania na Rais Magufuli nchini Lesotho kwa kukubali kichapo, Zitto Kabwe ataka Waziri Mwakyembe ajiuzulu
Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania, Taifa Stars imekubali kichapo cha goli 1-0 dhidi ya Lesotho kwenye mchezo wa kufuzu AFCON 2019.
Kwa matokeo hayo Taifa Stars inakuwa na alama 5 ikiwa imecheza michezo mitano jambo ambalo itahitajika kushinda dhidi ya Uganda kwenye mchezo wake wa mwisho huku ikiwaombea Cape Verde wenye alama 4 waitandike Lesotho.
Bado matumaini ni madogo kwa Taifa Stars kufuzu kwenda AFCON 2019. Mapema kabla ya mchezo huo Rais Magufuli aliwaomba vijana hao warudi nchini na ushindi lakini ndio hivyo mpaka dakika 90 wamekubali kichapo.
Hii mechi ni moja ya kumbukumbu mbaya kwenye soka letuMechi ya leo imeniuma sana kuliko zote Taifa Stars ilizowahi kufungwa
wenzetu timu ilipata 250Taifa Stars ingeshinda leo ingefuzu moja kwa moja Fainali za mataifa bingwa ya Afrika baada ya miaka zaidi ya 30
Lakini ukiangalia fainali za kipindi hiki zimekuwa diluted, kwa maana badala ya mataifa 16 kama ilivyokuwa kawaida ingekuwa mataifa 24
Ila ingeshinda na kufuzu,
Lakini kwa wengi dilution hiyo isingetazamwa, kingetazamwa ni kitisho cha Rais Magufuli kuwa wangezitapika hela endapo wasingefuzu
Rais wetu mpendwa, John Magufuli alipooita Timu ya Taifa Ikulu aliwapa Sh. Milioni 50 na kuwaambia wasingeshinda hiyo hela wangeitapika kwa namna nyingine, pia aliwaambia alikuwa anafikiria ku deploy jeshi ndio liwe timu ya Taifa...
Basi kitisho hicho kingetumiwa kama propaganda kuwa Watanznia tunafeli kwenye mambo mengi tu sababu hatujatishwa vizuri.
So ingekuwa ni mwendo wa kutisha kila mahali bila kujali mipango
So kwa kuwa hatujashinda pengine tutajifunza kuwa mafanikio ni process na sio kitu cha short term kinachotokana na vitisho
Mabeki wangetakiwa wafunge?Kulikuwa Hakuna haja ya kuwaanzisha sonso na sebo tena upande wa ulinzi Sonso hajawah kuanza mechi hata moja leo anamuanzisha pia Sebo hajawah anza. Leo anawapa kikosi cha Kwanza tena ugenini mechi unayotaka matokeo. Nyoni angekaa 2 na Gadiel 3 pale kati Mkude.kweli kamerooon hyo tunaiona kwa macho
Falsafa ya mwalimu ndio inaleta motisha ya kupambana?Maandalizi mabovu kwenye vilabu na TFF haina falsafa ya mpira kila kocha anakuja na falsafa yake. Kama ilani ya uchaguzi upuuzi huu
Kwa hiari?
Wapelekwe kwa LAZIMA.
Arsenal mkuuHuyo soso anakipiga wapi.
Itakua LipuliHuyo soso anakipiga wapi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Arsenal mkuu
LipuliHuyo soso anakipiga wapi.
Kama umesema kuna makundi mawili,kwanini Mwisho uhitimishe kuwa hakuna wananchi wanaosikitika?Huku niliko tu tulikua watanzania wengi sana tunafuatilia game na wengi tumetoka na majonzi makubwa mno.So msimamo wa kundi moja usipende kugeneralizeKiukweli kuna makundi mawili yanayoshindanisha dua zao , moja linataka Taifa Stars ishinde lingine linataka ishindwe , katika nchi ya namna hii si rahisi kufanikiwa .
Baada ya Timu yetu kufungwa goli hakuna wananchi wanaosikitika , ni nini kimeikumba nchi hii ?