Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Huko kote miaka 38 shida ni CCM?Hizo nchi zingine nazo ambazo hazijawah kushiriki nako ttz ni vyama vyao vya siasa?Nakosa logic kwenye argument yako


Ccm ilizaliwa mwaka 1977 ni zaidi ya miaka 40. Hizo nchi nyingine sijui sababu zao lakini hapa kwetu shida ni ccm.
 
Mikosi ya nchi inaletwa na ccm, hata siku moja taifa haliwezi kusonga mbele ikiwa ccm wametia mikono yao
 
Wadau naombeni mwenye matokeo ya hii mechi, iliyochezwa Leo jumapili kama tangazo linavyosema!
 
Hakuna kejeli hapo...kila siku wanaombewa tu na hawafanyi vizuri.mazingira ya kambi yao ni mazuri kuliko miaka hiyo.
Sijui wapewe nn ndg yangu kama ni dua, sala na maombi tumepiga sana kama ni kambi wamepelekwa sauzi. Wajameni lbd tumtafute mzee Mwinyi atakua anamjua huyo wendawazimu aliemsema tumrudishie kichwa chake
 
Haina haja ya kufuzu Afcon kwa timu yetu hii maana tutatia aibu, kama tunashindwa kumfunga Lesotho,Africa hii utamfunga nani? Leo kuanzia benchi la ufundi hadi wachezaji hakuna aliyekuwa anajua umuhimu wa game hii, no commitment toka kwa mchezaji yeyote, hata kama kocha alikosea kupanga kikosi ila wachezaji wetu wa kitanzania hawajitambui kabisa,ni zero brain kabisa,hawajitambui na kujiongeza uwanjani.

Bora tusifuzu Afcon maana tutaenda kutia aibu sana huko Cameroon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…