Mjanja mno kama hamjui iyo m50 katoa ili asiwasaidie tena kwa kisigizio ni kupoteza pesaJiwe alisema watazitapika tu
Ila sisi waafrika tuna sura mbaya sana... check ili lisura la Amunike... Sura limejaa kwenye passport size, zinga la pua. [emoji16][emoji16][emoji16]
Duh!kipigo cha leo dhidi ya lesotho ni matunda ya juhudi za awamu ya taw no
Mpira ni uwezo wako, na sio mala sala na maombi!!Sijui wapewe nn ndg yangu kama ni dua, sala na maombi tumepiga sana kama ni kambi wamepelekwa sauzi. Wajameni lbd tumtafute mzee Mwinyi atakua anamjua huyo wendawazimu aliemsema tumrudishie kichwa chake
Nitaomba hiyo ndoto iwe njema, iwe ya kheri mkuu.Subiri mechi na Uganda ntakuja tena ndoto
Tutashinda dhidi ya Ugandakipigo cha leo dhidi ya lesotho ni matunda ya juhudi za awamu ya taw no
Umeona eeHuu Uzi uendelee kuwepo Hivi Hivi ,nitautumia kama ushahidi baadae
Huyu jamaa ni miongoni mwa mawaziri ambao hawajielewi kabisa katika awamu ya tano.sijui atakuwa na chembechembe za wehu wale wa Tabora
Si wao ndo wamekazana kila siku ooh mtuombee dua utafikiri dua zetu zinatua miguuni mwaoMpira ni uwezo wako, na sio mala sala na maombi!!