Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Bila hivyo, atashuka nao jumla jumla...Jiwe alisema watazitapika tu
Hhhahaahah hachelewi kuwambia wakabangue koroshoBila hivyo, atashuka nao jumla jumla...
Hakuna kejeli hapo...kila siku wanaombewa tu na hawafanyi vizuri.mazingira ya kambi yao ni mazuri kuliko miaka hiyo.
Kwichi Kwichi, Umbea na Ushirikina.Mkuu hii nchi haiaminiki...sijui sisi tunaweza nini duniani
Daaah kwa hiyo mechi ijayo wajiandae kisaikolojiaMjanja mno kama hamjui iyo m50 katoa ili asiwasaidie tena kwa kisigizio ni kupoteza pesa
Jiwe aanze kutapika 1.5T Kwanza ndio wafuate hao!Jiwe alisema watazitapika tu
It's not in our hands anymore! Kama ikitokea miujiza tukaifunga uganda inatakiwa tuombe varpe verde wawabane lesotho.Tutashinda dhidi ya Uganda
Acha kutetea ujingaivi kigwangala ana maanisha nini kwa kauli kama hiyo ? hajui mpira wa miguu ni matokeo matatu? Pia ni kuwa pesa ishatumika walisaidiwa na wala hawajakopeshwa .Waziri mzima
Uganda huwa hawachomoki TaifaIt's not in our hands anymore! Kama ikitokea miujiza tukaifunga uganda inatakiwa tuombe varpe verde wawabane lesotho.
yeeeeeees atamwambia C D F aandae timuTutatumia jeshi hawa tunawafuta wote
wako nafasi ya 72 duniani tukiwafunga wataporomoka hawawezi kubali,wale hata wakiweka team c wanatufunga,kocha lenyewe bogus kabisaUganda huwa hawachomoki Taifa