Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Hata tukishinda kwakupitia dirishani huko itakuwa kichwa cha kujifundishia kunyoa mpaka wanarudi
kwani miguu yao inanini au na akili pia ni shida jamani, sasa kwa Uganda itakuwaje mmmm
 
ivi kigwangala ana maanisha nini kwa kauli kama hiyo ? hajui mpira wa miguu ni matokeo matatu? Pia ni kuwa pesa ishatumika walisaidiwa na wala hawajakopeshwa .Waziri mzima
 
halafu utasikia nguvu zote sasa tunaelekeza mechi ijayo, pumbaav. Napedekeza warudi waende kucheza ndondo. tuu.
 
Tujifunze kwenye World Cup, Timu nyingi tu zilishindwa na walipewa kila kitu na zaidi, vip Brazil, Argentina . Tujipange tena bado inawezekana we did our best . Tanzania my Country my home!!!
 
Waziri kabisa anaandika upupu wa namna hiyo! Hata kama ni utani, waziri ana dhamana kubwa, too low Kigwaz...
 
Back
Top Bottom