Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Sikuizi unachelewa sana kuelewa. Hivi huko mtaani kwenu hamfahamiani itikadi zenu?Huku mtaani kwetu kuna vijiwe vya bavicha na CCM. Na kuna watu wanajulikana ni CCM na wengine cdm.ikifika jion mda wa Kahawa huo ubishano wake ni hatar.Mechi kama ya leo unakuta kuna CCM na cdm wapo hapo na haiitaji kuonesha kadi kujua huyu ni chama gani. Leo sio bavicha wala ccm waliofurahia hali hii sema watanzania waishio jf kwa upande wa ufipa ndio wamefurah sana
 
Hata uganda tuwapige goli miambili kama lesotho mchezo wao dhidi ya cape verde ndo imebaki stori kutokana na sheria za CAF wao kwa sababu wametufunga na kutoa sare dhidi yetu kwa hyo wana point 4 Twafa stars point 1. Tujiandae kisaikolojia tu
Mkuu kwan hawaangalii goal difference kwanza?
 
Uganda waliwafunga 2-0 kwenye uwanja huo huo.
Huwezi kupanga mabeki 8 ukashinda. Hata Mao na Mudathir Leo walikuwa walinzi.
Nani awalishe mipira Chilunda na Msuva?
Alibadili baada ya kufungwa. Na muda ndio ulikuwa umebaki mdogo hivyo kuwa rahisi kwa Lesotho kulinda goli lao.
Upangaji wa timu umetuathiri kama tulivyofungwa 3 na Cape Verde.
 
Punguzeni kuwananga bhana, khaa!
Kuna team inayoingia uwanjani kusaka draw au kufungwa?
Punguzeni uchawi bhana...usikute watu wenyewe hata kutuliza tu mpira hamjui..senz typ
Emmanuel Amunike tulia si ulisema unaweza kutuvusha? Tukusifu kwa lipi kaka Emmanuel Amunike?
 
Wanaofurahia kufungwa kwa Raifa stars kuna kila dalili wana stress za kimaisha...
 
jamaa hapa taifa stars ingeshinda alikuwa anasubria kushangilia kuwa ni juhudi za ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…