MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,843
- 5,476
Sikuizi unachelewa sana kuelewa. Hivi huko mtaani kwenu hamfahamiani itikadi zenu?Huku mtaani kwetu kuna vijiwe vya bavicha na CCM. Na kuna watu wanajulikana ni CCM na wengine cdm.ikifika jion mda wa Kahawa huo ubishano wake ni hatar.Mechi kama ya leo unakuta kuna CCM na cdm wapo hapo na haiitaji kuonesha kadi kujua huyu ni chama gani. Leo sio bavicha wala ccm waliofurahia hali hii sema watanzania waishio jf kwa upande wa ufipa ndio wamefurah sanaHuku jukwaani watu wanachangia mambo ya siasa hivyo mchango wa mtu utakuonyesha itikadi yake. Huko kwenye mpira mlikuwa mnajadili siasa mpaka mfahamiane vyama? Huku jf kuna nyumba za kupanga kiasi kwamba watu wa huku jf hawakutani na wa huko mtaani hivyo kuwa na mitazamo ya jf tu, au mm ndio sielewi usemacho?