kagwima
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,278
- 1,630
walifanya makusudi, uwanja wa nyasi badia za kiwango cha chini kabisa, wamejaza yale ma rubber uwanjani na kufanya mpira unakosa uelekeo. Mimi ningekuwa FIFA ningepiga marufuku matumizi ya hizi uwanja zenye nyasi bandia. Kwanza kitaalamu zinaua nyonga na viungo nya wachezaji kwa sababu chini kuna zege achilia mbali, matatizo mengine kama tuliyoyaona leo
kama hujui mambo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kaa kimya